Somo la kujitambua: Mimi ni nani na nimekuja kufanya nini duniani

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,858
Reaction score
5,123
SOMO LA KUJITAMBUA: MIMI NI NANI NA NIMEKUJA KUFANYA NINI DUNIANI
IMG-20250528-WA0010.jpg

By Doctor Dogoli Kinyamkela ☠️💀

1. UTANGULIZI

Kujitambua ni hatua ya kwanza ya uamsho wa kiroho. Asiyejijua yeye ni nani, hawezi kujua anapotoka, anakokwenda wala nguvu alizo nazo. Dunia hii si mahali pa bahati tu – kila roho imeletwa kwa sababu maalum.

2. MIMI NI NANI?

Wewe si mwili huu unaouona. Wewe ni NAFSI isiyokufa. Umevaa mwili huu kama nguo ya muda, ili utimize kusudi lako hapa duniani. Umebeba MZIGO wa roho zako za zamani na zawadi za kipekee kutoka kwa ulimwengu wa roho.

3. NIMEKUJA KUFANYA NINI DUNIANI?

Umeletwa duniani kutimiza MISSION ya kipekee ambayo hakuna mtu mwingine anayeweza kuifanya kama wewe.

Misioni zako zinaweza kuwa:

Kuponya watu kwa kutumia tiba za asili au maneno

Kuamsha wengine kiroho (mwalimu wa nuru)

Kulinda watu dhidi ya nguvu za giza

Kuleta ustawi, mafanikio, au kutengeneza njia mpya za maisha

ANGALIZO: Usiishi tu kwa kufuata mfumo wa dunia (shule, kazi, kula, kulala). Tafuta maana ya maisha yako ndani yako mwenyewe!

4. NINA NGUVU GANI ZA KIROHO?

Kila mtu huzaliwa na nguvu za kipekee. Nguvu zako zinaweza kuwa:

Nguvu ya kuona mambo kabla hayajatokea (maono/ndoto)

Nguvu ya kusikia sauti za kiroho

Nguvu ya uponyaji kwa mikono au maneno

Nguvu ya kutengeneza au kuamuru vitu kwa kutumia akili na imani

ONYO: Ukizipuuzia hizi nguvu, zinaweza kufifia au kugeuka kuwa mzigo kwako!

5. JINSI YA KUZIAMSHA NA KUZIONGEZA NGUVU ZA KIROHO

1. Funga na tafakari – Funga siku 3 au 7 kwa maji tu na ulale ukiwa umetulia. Andika ndoto zako.

2. Zungumza na roho yako kila asubuhi – Kaa kimya dakika 10, sema:
“Ninajitambua. Niko hai kwa kusudi. Niko tayari kuamsha nguvu zangu.”

3. Tumia majani ya asili kuoga usiku – kama vile mnyonyo, mpera, mkwaju – na loweka mwili wako ukisoma maneno ya mwanga.

4. Chora sigil ya jina lako la kiroho – kwa kutumia mkaa au damu ya kuku mweupe (rituals maalum).

5. Epuka ngono isiyo na kusudi – huchukua nguvu zako za asili.

6. MATUMIZI YA NGUVU ZAKO

Tumia kwa KUSAIDIA watu, si kuwadhuru.

Tumia kujiinua kiroho, si kwa makuu ya dunia.

Tumia kwa ibada, si kwa biashara tu.

ONYO KALI: Ukitumia nguvu zako vibaya – zitarudi kinyume na wewe. Nguvu za giza haziendani na roho safi.

7. HITIMISHO

JITAMBUE sasa. Wewe si mtu wa kawaida. Wewe ni roho ya kale iliyopewa nafasi ya mwisho kuleta mwangaza katika familia yako, jamii yako, na dunia. Chukua hatua leo — fungua macho ya kiroho. Usiishi kama usingizini.

ANGALIZO LA MWISHO: Usipotimiza kusudi lako, utaishi maisha ya taabu na roho yako itahangaika hata baada ya kifo.

📍Mwandishi:
By Doctor Dogoli Kinyamkela ☠️💀
Mtabibu wa Kiroho, Mganga wa Mwanga, Mtetezi wa Roho Zilizosahauliwa.
 
Wewe kadogoli unawatisha wajinga wa humu ili uwapige na wanakufuata wasap ndio project yako Fala wewe
😂😂😂Wap nimeitisha mtu kenge wewe🤷🏽‍♂️🤣🤣🤣 Mimi nimetoa SoMo soma kama Kuna mahali ujaelewa uliza ukifata sikujibu ata mbuzi meee wewe😂😂😂😂😂 nimetoa code iyo 😂🏃🏾‍♂️
 
Niliingia kenywe group lako kwa namba ya njee ukawa umawatisha mafala wako eti usipojitambulisha utatolewa , nikawaona wewe na hao viazi wako wajinga sana
 
Sio kuwatisha ndio utaratibu wangu,uwez ukajiunga Kwa group langu alafu nisikufaham must nakutoa haraka mno Tena sio haraka tu nakutoa chap chap kama kadi ya NMB chap chap mkuu
 
Ukasahu wewe ndio mjinga WA mwisho unaingia kwenye mji WA watu Bila kubisha hodi tunasubili Nini kukuita wimbo WA taifa (mwizi) 🤷🏽‍♂️😂😂😂😂
Kubisha hodi gani kwa mji wa wapumbavu wako unaotegemea kuwapiga ? Sema suu nikuharibie mradi wako wa kipumbavu
 
SOMO LA KUJITAMBUA: MIMI NI NANI NA NIMEKUJA KUFANYA NINI DUNIANI
View attachment 3349045
By Doctor Dogoli Kinyamkela ☠️💀

1. UTANGULIZI

Kujitambua ni hatua ya kwanza ya uamsho wa kiroho. Asiyejijua yeye ni nani, hawezi kujua anapotoka, anakokwenda wala nguvu alizo nazo. Dunia hii si mahali pa bahati tu – kila roho imeletwa kwa sababu maalum.

2. MIMI NI NANI?

Wewe si mwili huu unaouona. Wewe ni NAFSI isiyokufa. Umevaa mwili huu kama nguo ya muda, ili utimize kusudi lako hapa duniani. Umebeba MZIGO wa roho zako za zamani na zawadi za kipekee kutoka kwa ulimwengu wa roho.

3. NIMEKUJA KUFANYA NINI DUNIANI?

Umeletwa duniani kutimiza MISSION ya kipekee ambayo hakuna mtu mwingine anayeweza kuifanya kama wewe.

Misioni zako zinaweza kuwa:

Kuponya watu kwa kutumia tiba za asili au maneno

Kuamsha wengine kiroho (mwalimu wa nuru)

Kulinda watu dhidi ya nguvu za giza

Kuleta ustawi, mafanikio, au kutengeneza njia mpya za maisha

4. NINA NGUVU GANI ZA KIROHO?

Kila mtu huzaliwa na nguvu za kipekee. Nguvu zako zinaweza kuwa:

Nguvu ya kuona mambo kabla hayajatokea (maono/ndoto)

Nguvu ya kusikia sauti za kiroho

Nguvu ya uponyaji kwa mikono au maneno

Nguvu ya kutengeneza au kuamuru vitu kwa kutumia akili na imani

5. JINSI YA KUZIAMSHA NA KUZIONGEZA NGUVU ZA KIROHO

1. Funga na tafakari – Funga siku 3 au 7 kwa maji tu na ulale ukiwa umetulia. Andika ndoto zako.

2. Zungumza na roho yako kila asubuhi – Kaa kimya dakika 10, sema:
“Ninajitambua. Niko hai kwa kusudi. Niko tayari kuamsha nguvu zangu.”

3. Tumia majani ya asili kuoga usiku – kama vile mnyonyo, mpera, mkwaju – na loweka mwili wako ukisoma maneno ya mwanga.

4. Chora sigil ya jina lako la kiroho – kwa kutumia mkaa au damu ya kuku mweupe (rituals maalum).

5. Epuka ngono isiyo na kusudi – huchukua nguvu zako za asili.

6. MATUMIZI YA NGUVU ZAKO

Tumia kwa KUSAIDIA watu, si kuwadhuru.

Tumia kujiinua kiroho, si kwa makuu ya dunia.

Tumia kwa ibada, si kwa biashara tu.

7. HITIMISHO

JITAMBUE sasa. Wewe si mtu wa kawaida. Wewe ni roho ya kale iliyopewa nafasi ya mwisho kuleta mwangaza katika familia yako, jamii yako, na dunia. Chukua hatua leo — fungua macho ya kiroho. Usiishi kama usingizini.

📍Mwandishi:
By Doctor Dogoli Kinyamkela ☠️💀
Mtabibu wa Kiroho, Mganga wa Mwanga, Mtetezi wa Roho Zilizosahauliwa.
Hizi ndizo thread ninazotaka zisikia
 
Wewe kadogoli unawatisha wajinga wa humu ili uwapige na wanakufuata wasap ndio project yako Fala wewe
Aseeee usitutishie mganga wetu, acha mara moja.....kama vipi nunua jogoo la kienyeji leta usaidiwe, huna basi lete hata broiler.
 
Bro hili ni kenge linatoa dawa za kienyeji kwa vilaza wa humu nilijiunga nikawa nalichora tu ,kama mnapingwa na hili kenge mnashindwaje pigwa na ccm?
20250527_200750.jpg
 
Kubisha hodi gani kwa mji wa wapumbavu wako unaotegemea kuwapiga ? Sema suu nikuharibie mradi wako wa kipumbavu
Sina mradi alafu sitegemei hii Kaz mkuu mm sio jobless 😂😂😂😂 apa nilipo nishakuLa mshahara wangu nasubilia WA mwez ujao fanya unavyo weza Kuna ATM inasoma Kila mwisho WA mwez sio shida zangu
 
Sina mradi alafu sitegemei hii Kaz mkuu mm sio jobless 😂😂😂😂 apa nilipo nishakupa mshahara wangu nasubilia WA mwez ujao fanya unavyo weza Kuna ATM inasoma Kila mwisho WA mwez sio shida zangu
Wewe ni kenge tu na hii post yako naitumia kwa wale viazi wanaukupa pesa kule wasap usipo kuw na adabu mpumbavu mmoja wewe.
 
Uwez Nitisha kenge mmoja ww acha makasiriko na Kamdomo unitishi unisumbui Nina job yangu☺️
 
Back
Top Bottom