Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
ANGALIZO: Usiishi tu kwa kufuata mfumo wa dunia (shule, kazi, kula, kulala). Tafuta maana ya maisha yako ndani yako mwenyewe!
ONYO: Ukizipuuzia hizi nguvu, zinaweza kufifia au kugeuka kuwa mzigo kwako!
ONYO KALI: Ukitumia nguvu zako vibaya – zitarudi kinyume na wewe. Nguvu za giza haziendani na roho safi.
ANGALIZO LA MWISHO: Usipotimiza kusudi lako, utaishi maisha ya taabu na roho yako itahangaika hata baada ya kifo.
😂😂😂Wap nimeitisha mtu kenge wewe🤷🏽♂️🤣🤣🤣 Mimi nimetoa SoMo soma kama Kuna mahali ujaelewa uliza ukifata sikujibu ata mbuzi meee wewe😂😂😂😂😂 nimetoa code iyo 😂🏃🏾♂️Wewe kadogoli unawatisha wajinga wa humu ili uwapige na wanakufuata wasap ndio project yako Fala wewe
Niliingia kenywe group lako kwa namba ya njee ukawa umawatisha mafala wako eti usipojitambulisha utatolewa , nikawaona wewe na hao viazi wako wajinga sana😂😂😂Wap nimeitisha mtu kenge wewe🤷🏽♂️🤣🤣🤣 Mimi nimetoa SoMo soma kama Kuna mahali ujaelewa uliza ukifata sikujibu ata mbuzi meee wewe😂😂😂😂😂 nimetoa code iyo 😂🏃🏾♂️
Sio kuwatisha ndio utaratibu wangu,uwez ukajiunga Kwa group langu alafu nisikufaham must nakutoa haraka mno Tena sio haraka tu nakutoa chap chap kama kadi ya NMB chap chap mkuuNiliingia kenywe group lako kwa namba ya njee ukawa umawatisha mafala wako eti usipojitambulisha utatolewa , nikawaona wewe na hao viazi wako wajinga sana
Ukasahu wewe ndio mjinga WA mwisho unaingia kwenye mji WA watu Bila kubisha hodi tunasubili Nini kukuita wimbo WA taifa (mwizi) 🤷🏽♂️😂😂😂😂wajinga sana
Wewe ni mjinga tu haukubali mawazo tofauti zaidi ya uliyonayo weweSio kuwatisha ndio utaratibu wangu,uwez ukajiunga Kwa group langu alafu nisikufaham must nakutoa haraka mno Tena sio haraka tu nakutoa chap chap kama kadi ya NMB chap chap mkuu
Kubisha hodi gani kwa mji wa wapumbavu wako unaotegemea kuwapiga ? Sema suu nikuharibie mradi wako wa kipumbavuUkasahu wewe ndio mjinga WA mwisho unaingia kwenye mji WA watu Bila kubisha hodi tunasubili Nini kukuita wimbo WA taifa (mwizi) 🤷🏽♂️😂😂😂😂
Hizi ndizo thread ninazotaka zisikiaSOMO LA KUJITAMBUA: MIMI NI NANI NA NIMEKUJA KUFANYA NINI DUNIANI
View attachment 3349045
By Doctor Dogoli Kinyamkela ☠️💀
1. UTANGULIZI
Kujitambua ni hatua ya kwanza ya uamsho wa kiroho. Asiyejijua yeye ni nani, hawezi kujua anapotoka, anakokwenda wala nguvu alizo nazo. Dunia hii si mahali pa bahati tu – kila roho imeletwa kwa sababu maalum.
2. MIMI NI NANI?
Wewe si mwili huu unaouona. Wewe ni NAFSI isiyokufa. Umevaa mwili huu kama nguo ya muda, ili utimize kusudi lako hapa duniani. Umebeba MZIGO wa roho zako za zamani na zawadi za kipekee kutoka kwa ulimwengu wa roho.
3. NIMEKUJA KUFANYA NINI DUNIANI?
Umeletwa duniani kutimiza MISSION ya kipekee ambayo hakuna mtu mwingine anayeweza kuifanya kama wewe.
Misioni zako zinaweza kuwa:
Kuponya watu kwa kutumia tiba za asili au maneno
Kuamsha wengine kiroho (mwalimu wa nuru)
Kulinda watu dhidi ya nguvu za giza
Kuleta ustawi, mafanikio, au kutengeneza njia mpya za maisha
4. NINA NGUVU GANI ZA KIROHO?
Kila mtu huzaliwa na nguvu za kipekee. Nguvu zako zinaweza kuwa:
Nguvu ya kuona mambo kabla hayajatokea (maono/ndoto)
Nguvu ya kusikia sauti za kiroho
Nguvu ya uponyaji kwa mikono au maneno
Nguvu ya kutengeneza au kuamuru vitu kwa kutumia akili na imani
5. JINSI YA KUZIAMSHA NA KUZIONGEZA NGUVU ZA KIROHO
1. Funga na tafakari – Funga siku 3 au 7 kwa maji tu na ulale ukiwa umetulia. Andika ndoto zako.
2. Zungumza na roho yako kila asubuhi – Kaa kimya dakika 10, sema:
“Ninajitambua. Niko hai kwa kusudi. Niko tayari kuamsha nguvu zangu.”
3. Tumia majani ya asili kuoga usiku – kama vile mnyonyo, mpera, mkwaju – na loweka mwili wako ukisoma maneno ya mwanga.
4. Chora sigil ya jina lako la kiroho – kwa kutumia mkaa au damu ya kuku mweupe (rituals maalum).
5. Epuka ngono isiyo na kusudi – huchukua nguvu zako za asili.
6. MATUMIZI YA NGUVU ZAKO
Tumia kwa KUSAIDIA watu, si kuwadhuru.
Tumia kujiinua kiroho, si kwa makuu ya dunia.
Tumia kwa ibada, si kwa biashara tu.
7. HITIMISHO
JITAMBUE sasa. Wewe si mtu wa kawaida. Wewe ni roho ya kale iliyopewa nafasi ya mwisho kuleta mwangaza katika familia yako, jamii yako, na dunia. Chukua hatua leo — fungua macho ya kiroho. Usiishi kama usingizini.
📍Mwandishi:
By Doctor Dogoli Kinyamkela ☠️💀
Mtabibu wa Kiroho, Mganga wa Mwanga, Mtetezi wa Roho Zilizosahauliwa.
Aseeee usitutishie mganga wetu, acha mara moja.....kama vipi nunua jogoo la kienyeji leta usaidiwe, huna basi lete hata broiler.Wewe kadogoli unawatisha wajinga wa humu ili uwapige na wanakufuata wasap ndio project yako Fala wewe
Bro hili ni kenge linatoa dawa za kienyeji kwa vilaza wa humu nilijiunga nikawa nalichora tu ,kama mnapingwa na hili kenge mnashindwaje pigwa na ccm?Aseeee usitutishie mganga wetu, acha mara moja.....kama vipi nunua jogoo la kienyeji leta usaidiwe, huna basi lete hata broiler.
Sina mradi alafu sitegemei hii Kaz mkuu mm sio jobless 😂😂😂😂 apa nilipo nishakuLa mshahara wangu nasubilia WA mwez ujao fanya unavyo weza Kuna ATM inasoma Kila mwisho WA mwez sio shida zanguKubisha hodi gani kwa mji wa wapumbavu wako unaotegemea kuwapiga ? Sema suu nikuharibie mradi wako wa kipumbavu
Sijataja serikali wala Chama usini husishe na mada zako za kindezBro hili ni kenge linatoa dawa za kienyeji kwa vilaza wa humu nilijiunga nikawa nalichora tu ,kama mnapingwa na hili kenge mnashindwaje pigwa na ccm?View attachment 3349095
Wewe ni kenge tu na hii post yako naitumia kwa wale viazi wanaukupa pesa kule wasap usipo kuw na adabu mpumbavu mmoja wewe.Sina mradi alafu sitegemei hii Kaz mkuu mm sio jobless 😂😂😂😂 apa nilipo nishakupa mshahara wangu nasubilia WA mwez ujao fanya unavyo weza Kuna ATM inasoma Kila mwisho WA mwez sio shida zangu
Kalibu mkuu achana na iyo kilaza unayo piga kelele za wapiga debeHizi ndizo thread ninazotaka zisikia
Uwez Nitisha kenge mmoja ww acha makasiriko na Kamdomo unitishi unisumbui Nina job yangu☺️Wewe ni kenge tu na hii post yako naitumia kwa wale viazi wanaukupa pesa kule wasap usipo kuw na adabu mpumbavu mmoja wewe.
Wewe ni mpumbavu nimekufuatia mda tu hasa wasap , na members wako ni vilaza wa mwisho ila umenipa kazi ya kuwazindua kwenye usingizi wa ponoSijataja serikali wala Chama usini husishe na mada zako za kindez
Niunganishe basi kwenye wasap groupKalibu mkuu achana na iyo kilaza unayo piga kelele za wapiga debe
Wanakuzoom tu usivyokuwa na akiliUwez Nitisha kenge mmoja ww acha makasiriko na Kamdomo unitishi unisumbui Nina job yangu☺️