The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Habari wote JF members,
Nimeona nifungue uzi kutoka uzi mmoja na huu ujitegemee.
Saivi watu wanaishi kwa bajeti kali no shopping kizembe zembe Tsh.10000 ndio buku 2000 ya 2015. Uhalisia uko hivo jero ishakuwa mia 200 afu malipo ya kazi ni yale yale. Daah walio ajiriwa kwa mishahara midogo daah ni maumivu.
Bora ujiajiri na mtaji wako. Kama unalipwa laki 2 kwa mwezi shuka chini kwa maisha ya sasa hivi, na umepanga, una familia au huna upo kwenye big risk ya kipato.
Nini kifanyike inaonekana pesa yetu ishaporomoka, chakufanya usikubali kufanya kazi kwa malipo kidogo.
Kwa sasa Tsh.10000 ni kipato kidogo kwa siku japo ndiyo ukomae angalau upate kwa wale wa hali ya chini.
kwa wenye familia wataelewa ila wasio hawataelewa hii maana. Ukiwa na usafiri inabidi upate siyo chini ya 17000 kwa siku.
Uko mwenyewe kibachela tuseme unapata 10000 kwa siku. Napiga bajeti za watu wengi wa hali za chini.
1500 chai
2500 chakula cha mchana.
3000 chakula cha usiku.
1000 vocha.
Umebakiwa na 2000 kwenye 10000 yako ya siku 2000×30siku=60,000.
Kodi ya mwezi chumba cha kibachela 50,000, 10000, umeme na maji jumla 60,000 yaani hapa ni noma sana.
Usafiri hapo bado, Bado hujanunua mahitaji mengine ya mwili, Bado hujavaa hajaenda disko cheza😆😅
Je, ukiwa na familia?
Je, utachumia tumbo tu mjini?
Tuwe tunatafakari vipato vyetu lakini daaah. Hata kama unasave 1000 kwa kujibana hutofika malengo.
Je, ni wangapi wanalipwa 10000. Kwa siku na wapo hali gani?
Nikisikia anayelipwa 4000 au 5000 kitaa nawaza sana analipaje kodi mjini.