Somo la mgomo wa UDSM jana

geee kay

Senior Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
112
Reaction score
63
Mgomo wa udsm jana umetufundisha jinsi nchi hii bila mgomo huwezi kupata haki yako ya msingi maana tulishuhudia serikali ikiwambia wanafunzi kuwa haina fedha lakini baada ya wanafunzi kukomaa kuwa pesa hiyo wanaitaka siku hiyo hiyo kufikia saa moja usiku pesa ilikuwa tayar ishaingizwa kwenye akaunt za wanafunzi
 
Karibu na uchaguzi,hebu wagome baada ya uchaguzi halafu watupe the outcome.Huu ni wakati mzuri wa kudai malipo yao yaliyo halali.
 
Hata waalimu walitakiwa wagome mwaka huu. Baada ya hapa kuna miaka mitano migumu sana kama hamjapata kile mnachotaka basi sahau
 
hakuna mali iliyoharibiwa mgomo ulikuwa wa amani! Hakuna aliyeumia! Vijana wako salama

hongera UDSM... Hawa jamaa wanazingua sana... Hiyo ndo dawa Yao na bado za field la sivyo mtaenda bila hela
 
Huu ni mwanzo lakini la msingi zaidi ni kuanza kuwapa pressure watoe hela ya field maana kilichotokea mwaka jana kila mtu anakijua. Leo DUCE watu wame pressulize na wakapewa matumaini kwamba hela watapewa leo, UDSM main Campus mna raisi ambaye anajitambua na nahisi tulimiss mtu kama huyu miaka minne nyuma.
 
vip mmeshaenda nyama choma festival na facebook party sijui instagram party?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…