geee kay
Senior Member
- Mar 21, 2015
- 112
- 63
Mgomo wa udsm jana umetufundisha jinsi nchi hii bila mgomo huwezi kupata haki yako ya msingi maana tulishuhudia serikali ikiwambia wanafunzi kuwa haina fedha lakini baada ya wanafunzi kukomaa kuwa pesa hiyo wanaitaka siku hiyo hiyo kufikia saa moja usiku pesa ilikuwa tayar ishaingizwa kwenye akaunt za wanafunzi