Unaweza kutaja aina ya magari ambayo huwezi kuyaendesha, Kuna anayeweza kuyaendesha lakini hawezi kutatengeneza yakiharibika. Hivyo kujuwa na kuelewa nitofauti. Kujua Ni kufahamu, unaweza kufahamu jengo liliko lakini huelewi linavyotumika.Utakijuaje kitu bila kukielewa?
Utathibitisha vipi kwamba huyu mtu anakijua hiki kitu ila hajakielewa?
Exactly, Kuna mtu akisikia CCM anafikiri Ni ileile ya Nyerere, kumbe katikati hapo yaliingia mambo ya kupakia twiga mzima kwenye ndege chini ya CCM hiyohiyo iliyokuwa ya Nyerere zamani. CriticalSafi sana.
Kwa kuongezea hapo mtu anayekariri yeye ataangalia rangi ya chama na kuweka tick kwenye viboksi vyote vyenye rangi ya chama hicho bila kuchambua ufanisi wa hao wagombea.
Exactly!!, tena ukimkuta mtu anakata vyuma vya flyover polisi watamkuta umeshamng'oa meno kwa mikono yako.Kwa mfano mtu anayekariri anajua kwamba magufuli anajenga flyovers,treni za mwendokasi na barabara. Lakini mtu aliyeelewa atakwambia kodi zetu zinajenga flyovers,treni za mwendokasi,barabara ila magufuli amejitahidi kusimamia kodi zetu.
UMEELEWA SASA TOFAUTI YA KUKARIRI NA KUELEWA NDUGU?
Kujua na kuelewa kuna tofauti gani?Kwa mfano mtu anayekariri anajua kwamba magufuli anajenga flyovers,treni za mwendokasi na barabara. Lakini mtu aliyeelewa atakwambia kodi zetu zinajenga flyovers,treni za mwendokasi,barabara ila magufuli amejitahidi kusimamia kodi zetu.
UMEELEWA SASA TOFAUTI YA KUKARIRI NA KUELEWA NDUGU?
Unaweza kujua kitu lakini usikielewe, ila ukielewa kitu moja kwa moja unakijua.Kujua Ni kubwa kuliko kuelewa. Kuelewa unaweza kuelewa vibaya lakini kujua huezi kujua vibaya.
Lakini kujua hakuko ndani ya kuelewa. Mtu anapotanguliza neno "nadhani/I think" maana kuelewa kwake Jambo hilo Kuna mashaka sio 100%, mtu anayejuwa kitu hasemi nadhani.Unaweza kujua kitu lakini usikielewe, ila ukielewa kitu moja kwa moja unakijua.