njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu
Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki
leo team iko stuck na Dejan utadhani afrika nzima hakuna strikers bada aya kumkosa manzoki,eiiiish
Sasa matola ana vigezo vya kukaa kwenye benchi la CAF? ikishindikana muombeni tu uchebe arudi au Gomez na yule kocha wa viungo mtunisia mrudisheni kwani shida ni nini ndugu zangu?