HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Sasa upo wapi baada ya kuipenda hesabu...Nilikuwa sipendi history na nimeifeli mara nyingi
Maths ndo best subject of all times,naipenda
kuna soma lilikua lina Viima, vialifu sijui mofimu mara visasli daaa nlikua silipendi ila mitihani yke nlikua nafaulu.
sasaiv upo wapSijawai kufel somo lolote mim
sasaiv upo wap
Hakuna kitabu cha Ngoswe cha mashairi.Ni tamthiliaKiswahili na nilifeli, mpk kesho hilo somo nalichukia hatari na lilipokuja swala la kukariri mashairi ya kina ngoswe ndo wakaharibu zaidi. Napenda kukiongea tu