Somo lipi ulikuwa haulipendi

Somo lipi ulikuwa haulipendi

Aisee mathematics toka form one huwa na score single digits lakn Geography mm ni mtaalam sana A level nmeinyanyasa sana
 
Wakuu..
BINAFSI NI MATHEMATICS ILA SIJAWAHI FELI HATA KATIKA LEVEL YOYOTE.......NILIKUWA NAPENDA BIOLOGY DAAH JAMANI NALIPENDA HILI SOMO??
Kuwa mkweli kuwa ulikuwa unapenda topic ya reproduction na sio somo zima la biology

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
primary ni stadi za kazi maana nilikuwa napeleka fagio napewa marks 70-75% wenzako wana 100%
 
Back
Top Bottom