Nilikuwa sipendi ndo maana ht sijui ndo vitu gani vile
Kuwa mkweli kuwa ulikuwa unapenda topic ya reproduction na sio somo zima la biologyWakuu..
BINAFSI NI MATHEMATICS ILA SIJAWAHI FELI HATA KATIKA LEVEL YOYOTE.......NILIKUWA NAPENDA BIOLOGY DAAH JAMANI NALIPENDA HILI SOMO??
Aise tupo wengi[emoji4]Kiswahili na nilifeli, mpk kesho hilo somo nalichukia hatari na lilipokuja swala la kukariri mashairi ya kina ngoswe ndo wakaharibu zaidi. Napenda kukiongea tu
Physical geography advance niliipenda mno
[emoji23] [emoji23] yupo kwaosasaiv upo wap