Somo nililopata kupitia kwa Hayati John Pombe Magufuli

Wakati wazee wakisimulia habari za Nyerere, Basi vijana wa miaka ya 90 na 2000 watasimulia habari za shujaa Magufuli.

Jinsi alivyompiga risasi Lissu na kumnyanganya ubunge. Na pia kumpoteza Been Saanane. Stori ni nyingi, hadi alipozima mtandao wa internet siku ya uchaguzi.
 
Reactions: Qwy
Ubarikiwe sana Seniweba, una akili mingi. Mama tumuombee maana kuna wale vikaragosi kila siku walishinda kumlaumu na kumtukana Dkt Magufuli sasa wanaongoza vikao vya kumtukana Mama Samia wakati Mama anafuata yale waliyoyataka ya kijinga toka kwa Dkt Magufuli. Naamini Mama baada ya 2025 atakuwa mwingine
 
ujumbe mzuri sana.kwa hakika watz ni wasahaulifu sana.mana miaka ya awamu ya nne tulikuwa tunaomba mungu atupe dikteta.mkali na mungu akamleta.mara tukadai hafai. mungu atusamehe sana na aiweke roho yake mahala pema peponi
 
Atakuwa mwingine kivipi ? Mbona iwe ni baada ya 2025?
 
Muulize mama yako
Kwa nini Sukuma gang huwa hawana hoja? Matusi ndiyo silaha yao pekee, akili zao zinaakisi akili za yule 'mungu mtu' wao aliye jahanam kwa sasa.
 
Jinsi alivyompiga risasi Lissu na kumnyanganya ubunge. Na pia kumpoteza Been Saanane. Stori ni nyingi, hadi alipozima mtandao wa internet siku ya uchaguzi.
100%[emoji106]
 
Pumbafu nyie Maccm tulipowaambia tengenezeni mfumo hamkuelewa. Haya sasa ameondoka. Tunarudi kule kule!
 
Well [emoji736] 100% True [emoji106] said mkuu Seniweba
 
Mwendazake alikuwa mshamba, haambiliki na hajali protocol wala katiba. Ndiyo maana hatunaye tena. Tanzania haikustahili kutawaliwa na mtu wa calibre ile. Ni ajali tu ya kisiasa ya mwaka 2015 ndiyo iliyomleta madarakani. ila Tumejifunza, viongozi lazima waandaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…