SOMO: Tusifanye makosa dhidi ya watu hawa tukidhania tunaowakosea

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Tusifanye makosa dhidi ya watu hawa tukidhania tunaowakosea ni wao kama individuals bali wao ni Taasisi.
Kwa uelewa wangu wa elimu ya uraia naamini kosa dhidi yao halina sababu ya kuthibitishwa au kutolewa ushahidi ma wao.

Pengine ndio maana katiba yetu iliyoenea vyema imewapa Kinga na Image hii.

Kabla hatujakuwa na mihemko basi ni vyema tukawa inquistive na very much knowledgable katika maswala haya muhimu ya elimu ya uraia.

By the way nawashangaa sana wanasheria wenye kujua hili kushindwa kusema iliyo kweli kwani kweli hutupa uhuru.

Zaidi tuheshimu sana hawa viongozi wetu hata kama tuna visasi ndani yetu ...tuwakosoe kwa staha,tuwashauri na sio kushinikiza ,tuwaombee kwa sala na miujiza ili watende tunayohisi yatatupendeza.
Huu ni ushauri kutoka mitaa ya staki shari!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ni vipi matamshi ya Lissu yamehatarisha usalama wa Raisi, Makamu wa Raisi au Waziri Mkuu ambao kikatiba wao wanatambulika ni serikali(uhaini ni pamoja na kutishia serikali).

Kwa maneno mengine, kwakuwa uhaini ni pamoja na kutishia serikali(Raisi, Makamu wa Raisi na Waziri Mkuu) , thibitisheni ni vipi kauli ya kukiukisha kwenye masuala ya uchaguzi imetishia usalama wa hao viongozi.
 
Hakuna taasisi inayojiendesha yenyewe bila watu, pia ayepinduliwa ni Rais ambaye ni mtu na siyo taasisi,kadhlika mtu ndiye ayeboronga au kutenda vema na siyo taasisi.
 
Viongozi wasio wazalendo hawastahili kuombewa hata sala moja
 
Viongozi gani hao? Yaani hao wezi wa kura na kodi ndio unataka waheahimiwe? Bara kuheshimu mbwa anaye nilinda usiku kuliko kuita mwizi kura na kodi kiongozi.
 
Zaidi tuheshimu sana hawa viongozi wetu hata kama tuna visasi ndani yetu ...tuwakosoe kwa staha,tuwashauri na sio kushinikiza ,tuwaombee kwa sala na miujiza ili watende tunayohisi yatatupendeza.
Huu ni ushauri kutoka mitaa ya staki shari!

Je wao viongozi wanaheshimu raia wanaowaongoza?Heshima ni kuheshimiana.Au ndiyo yale mambo ya kifo ni kifo tu.
 
Ni vipi matamshi ya Lissu yamehatarisha usalama wa Raisi, Makamu wa Raisi au Waziri Mkuu ambao kikatiba wao wanatambulika ni serikali(uhaini ni pamoja na kutishia serikali).

Kwa maneno mengine, kwakuwa uhaini ni pamoja na kutishia serikali(Raisi, Makamu wa Raisi na Waziri Mkuu) , thibitisheni ni vipi kauli ya kukiukisha kwenye masuala ya uchaguzi imetishia usalama wa hao viongozi.
Taasisi ya Urais,Makamu na Waziri mkuu ndio zinapaswa kuthibitisha na wala sio wao kama individuals.
 
Hakuna taasisi inayojiendesha yenyewe bila watu, pia ayepinduliwa ni Rais ambaye ni mtu na siyo taasisi,kadhlika mtu ndiye ayeboronga au kutenda vema na siyo taasisi.
unapopindua ujue unaipindua Taasisi ..yaani wapo wananchi wengi sana waliomchagua nyuma yake na hii ina maana unapindua mawazo yao!unafanya uhaini dhidi yao
 
Zaidi tuheshimu sana hawa viongozi wetu hata kama tuna visasi ndani yetu ...tuwakosoe kwa staha,tuwashauri na sio kushinikiza ,tuwaombee kwa sala na miujiza ili watende tunayohisi yatatupendeza.
Huu ni ushauri kutoka mitaa ya staki shari!

Je wao viongozi wanaheshimu raia wanaowaongoza?Heshima ni kuheshimiana.Au ndiyo yale mambo ya kifo ni kifo tu.
Wewe kama individual ni lini na wapi Rais kakukosea heshima?
kuwa honest
 
Hapana...hii ni KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Hapana hii ni

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Hapana hii ni

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom