Somo : Ukipika Chakula Mchana wa Ramadhan unaruhusiwa kuonja lakini usikimeze , baada ya kuonja tema na funga yako itakuwa halali

nawaza ile mirojo rojo na mahanjumati nionje halafu niteme!!daah imani ngumu sana aisee
 
Pole sana ndugu yangu yupo anayekulinda na kukupa hicho ulichonacho kinachokupa kiburi,kumbuka kuna watu wako mahodini wamelazwa sio kwa kupenda,wengine wamefungwa kwa kuonewa,wewe uliyebahatika kuwa na afya njema baadala ya kumshukuru Mungu unajiona mjanja.Ebu mrudie Mungu wako. Nakukalibisha kwenye Uisilamu
 
Kosa langu nini mkuu ?
 
Samahani bwana nilikuwa namjibu
Huyu Membar anayejiita kijana wa jana,aliyesema hizi dini ni Upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom