Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Don nashindwa kukuelewa lakini nahisi tatizo ni mimi.
Wimbo una dakika 15:07. Nimeusikiliza kwenye earphone sijaelewa kama kile kilichoimbwa ni lugha ya Kiengeleza au la! Nikaurudia tena dakika hizo hizo 15 tena na nikatoka kapa.
Nitakuja na harambee ya kuchangia matibabu ya kichwa na mwenendo mzima wa afya ya akili ya uyu Don Nalimison ili tumpeleke sehemu husika akapate matibabu stahiki.
Majibu ya Afya ya Akili ya Don Nalimison kutoka Hospitali ya Milembe-Dodoma na Hospitali ya Benjamin Mkapa-DodomaWimbo una dakika 15:07. Nimeusikiliza kwenye earphone sijaelewa kama kile kilichoimbwa ni lugha ya Kiengeleza au la! Nikaurudia tena dakika hizo hizo 15 tena na nikatoka kapa.
Nitakuja na harambee ya kuchangia matibabu ya kichwa na mwenendo mzima wa afya ya akili ya uyu Don Nalimison ili tumpeleke sehemu husika akapate matibabu stahiki.
Don naomba namba ya simu ya hiyo pisi iliyovaa red nataka nifanye naye ngoma yangu.
Doniiii
Huu wimbo naupata Youtube?
hahah hili ngoma ni dedication kwa mataga wote na policcm