Full 8
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 313
- 271
Nahitaji kufungua jewelry Nina mtaji wa mil.10.
1. Naomba kufahamu mambo ya msingi katika kufanikisha hilo.
2. Ningependa kutumia network marketing, naombwa kuelezwa namna navyoweza kutengeneza hiyo network.
3. Kwa kuwa sina uzoefu wa kusimamia biashara nimepanga mwaka huu nisome post graduate diploma ya businesses administration, he itanifaa kwa mpango wangu huu?
Karibuni.