Hashim Dogo sijawahi kusikia Ngoma yake hata moja. Japo najua alikua member wa Kwanza unit na Ngoma pekee ya Kwanza unit nayoijua ni Ile "msafiri" sasa ni ngumu kusema hashimu dogo kwenye upande wa lyrics alikua mnoma kiasi gani Hadi bwana songa amtunuku ufalme wa rymes... Anyway ngoja wakongwe zaidi waje