Songa na Afande Sele

Songa na Afande Sele

japo najua alikua member wa Kwanza unit na Ngoma pekee ya Kwanza unit nayoijua ni Ile "msafiri" Hajawahi kuwa member wa KU
 
Hashim Dogo sijawahi kusikia Ngoma yake hata moja. Japo najua alikua member wa Kwanza unit na Ngoma pekee ya Kwanza unit nayoijua ni Ile "msafiri" sasa ni ngumu kusema hashimu dogo kwenye upande wa lyrics alikua mnoma kiasi gani Hadi bwana songa amtunuku ufalme wa rymes... Anyway ngoja wakongwe zaidi waje
Kikosi cha mizinga sio Kwanza Unit...
 
Back
Top Bottom