Songa ndiye emcee bora tamaduni music

Incredible...moko ya miujiza, vocal kama ya Jesus, Mungu alimdesign mama yake akampublish [emoji3] dah hawa jamaa ni shiiida
 
Tena One The Incredible ni SURVEYOR ....graduate wa Ardhi.... Niki wa pili anafanya/anamalizia Masters.... Mike T kamaliza CBE anapiga mzigo, BLACK RHYNo kamaliza mzumbe BBA.... BONTA ni dokta hapo Kahama... ....EMBU NTAJIE WA5 TU WA MIZIKI YENU YA KULILIA NGOLOLONGOLO.... Mwenye hata Diploma..... Hip Hop mpaka uisikilize uilewe unahitaji kichwa chenye uwezo ...na mistari ushairi wake ni hali ya juuu.....
 
Anakwambia
Usiombe uwekwe kwenye beat na mim utajua kwa nin uganda mpaka leo hakuna dada gaidi kama iddi amnin
Sasa mstari mgumu huko wapi, kugeuza maneno, au kutumia tamathari za maneno
 


Mtoto wa nzi unaniangusha bwana ushirika, kusoma sio kuelimika, wewe ulijui ilo au.. Wa ngapi wana vyeti na hawana weledi wowote
 

Stereo ndio amesoma ardhi,sidhani kama One Incredible ni graduate
 

Mkuu elimu ya bongo si maarifa ni vyeti.. Ndio maana unaona wanaelimu zao wamesomea biashara ila bado wanashindwa kutoboa kibiashara na walioishia darasa la saba..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…