Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Incredible...moko ya miujiza, vocal kama ya Jesus, Mungu alimdesign mama yake akampublish [emoji3] dah hawa jamaa ni shiiidaMmh...
Sio kweli mkuu...
Hivi ushawahi kumsikiliza ONE THE INCREDIBLE...
sema kuna muda inatokea wanaingiza maneno MAGUMU kidogo kwenye mistari yao (hip-hop ndivyo ilivyo)...
Nafikiri hiyo ndio sababu inayokufanya uone hawa watu wanafanya mziki wa kihuni..!