Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
#Hisia za Moyoni, hii ngoma ninaikubali sanasonga ni mkubwa ikisimama hakuna wa kuukalia hakuna wa kuuswalia /
duniani hakufai ndio maana ukizaliwa tu unalia/
Rafiki mnafiki hanifai kwa dhiki.Bei ya sukari inanifanya ninywe chai na pipi.
it's hard to understand if u ain't in a family...I love hip hopWatu wa Hip hop mnatuchanganya sana, atakuja mwingine atasema Dogo Hashimu hatari
huwezi kuelewa,bora ukae kimya...huku hakukuhusu,ni Familia ya tofauti kabisa. BTW sio lazima uujue kila aina ya muziki...yani kiufupi huwezi kutuelewaWatasikika vp wakati wanafanya mziki wa kihuni na wengi wao vijana wa TAMADUNI music ni wahuni!
Nacho shukuru nikuwa uhai si lipiRafiki mnafiki hanifai kwa dhiki.
Hiyo ngoma ni hatari mkuu...#Hisia za Moyoni, hii ngoma ninaikubali sana
SONGA ni mkubwa nikisimama hawawezi kuukaliasonga ni solo mcee/
we ni player njoo uchezee libolo fc
Huu uzi haukufai kuchangia nenda kawasikilize akina Galatone na Meda ndo saizi yakoMC wa shughuli gani, anamshinda Taji Liundi au mbwembwe tu
Daily asubuh lazima ntafute mood ya kupiga mishe kwa hits za hawa jmaaa. Wapo gud.....ukitak kucheka wana hits nzuri ukitak kuelimika wana hitsHaujakosea!tamaduni music ndio hazina yangu ya hip hop!
Nikofiti mpaka nikiketi kwnye biti mwenye kiti haioni siti....Rafiki mnafiki hanifai kwa dhiki.
Mkuu kuna vijitu vinaongeaga kama havina "kende" vileHuu uzi haukufai kuchangia nenda kawasikilize akina Galatone na Meda ndo saizi yako
Daah we jamaa unajikosea kinoma tena unalidhalilisha ilo jina la NyerereWatasikika vp wakati wanafanya mziki wa kihuni na wengi wao vijana wa TAMADUNI music ni wahuni!