Songa ndiye emcee bora tamaduni music

Songa ndiye emcee bora tamaduni music

Nilijua mcheza tennis wa ufaransa Joe wilfred tsonga.
 
Haujakosea!tamaduni music ndio hazina yangu ya hip hop!
 
Haujakosea!tamaduni music ndio hazina yangu ya hip hop!
Daily asubuh lazima ntafute mood ya kupiga mishe kwa hits za hawa jmaaa. Wapo gud.....ukitak kucheka wana hits nzuri ukitak kuelimika wana hits

Ebu tafuta Songa enzi za utoto ufurahi
 
Huu uzi haukufai kuchangia nenda kawasikilize akina Galatone na Meda ndo saizi yako
Mkuu kuna vijitu vinaongeaga kama havina "kende" vile

Moja kati ya mc ninaependa kusikilza

Kuwasklza wasanii wenye mistari kuntu ni kama kusolve maswali matata ya namba, moyoni unajiskia raha kichiz kila unapotegua mitego ya swali.. Ndio mistari kuntu, unafumbua vile vilivyofichwa amabavyo mibichwa maji hawawez kuelewa abadani asilani
 
Back
Top Bottom