Songa ndiye emcee bora tamaduni music

Mtaaa kuna wanyama njooo ucheki vicheche utembeze rungu kama komred kipepe
 
Watasikika vp wakati wanafanya mziki wa kihuni na wengi wao vijana wa TAMADUNI music ni wahuni!
Kabla hujapost fikiri kwanza hip-hop sio uhuni kama uhuni mbn wakina 50 wamefaidika kimziki kupitia hip-hop
 
Metaphors and word play
Sijui kama unajua chochote kuhusu hayo maneno mawili if u do sidhan kama ungeongea statement ya kichoko hvyo
Hasira za nini, sijawai kumtukana mtu ata kama simjui, zaid nakuupuza, jitihidi kua huru kusikia usichopenda
 
Halafu songa sio bora bali anaweza wapo bora ambao ukisikiliza huchokii kama nicki wa pili
Duh...
Mkuu...
SONGA VS NIKKI WA PILI..!?
Huyu Nikki wa pili wa WEUSI au..!?
Hakuna MWEUSI wa kumfananisha na S.O.N.G.A...
Acha kumvunjia heshima SONGA bhana...
Lakini sawa,siwezi jua umetumia vigezo gani mwenzetu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…