Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
one the incridible pia ni graduate udsm b.of math'sStereo ndio amesoma ardhi,sidhani kama One Incredible ni graduate
Nenda mkitoTuwekeeni link za kuweza kuzi download nyimbo zake!
Hujielewi wwMC wa shughuli gani, anamshinda Taji Liundi au mbwembwe tu
Mhuni babakoWatasikika vp wakati wanafanya mziki wa kihuni na wengi wao vijana wa TAMADUNI music ni wahuni!
Metaphors and word playSasa mstari mgumu huko wapi, kugeuza maneno, au kutumia tamathari za maneno
Kabla hujapost fikiri kwanza hip-hop sio uhuni kama uhuni mbn wakina 50 wamefaidika kimziki kupitia hip-hopWatasikika vp wakati wanafanya mziki wa kihuni na wengi wao vijana wa TAMADUNI music ni wahuni!
Wa pili bishoo tu tamadun kazi za mbali wewe songa fund sanaHalafu songa sio bora bali anaweza wapo bora ambao ukisikiliza huchokii kama nicki wa pili
Download Songa music mp3 | Mdundo.comTuwekeeni link za kuweza kuzi download nyimbo zake!
Hasira za nini, sijawai kumtukana mtu ata kama simjui, zaid nakuupuza, jitihidi kua huru kusikia usichopendaMetaphors and word play
Sijui kama unajua chochote kuhusu hayo maneno mawili if u do sidhan kama ungeongea statement ya kichoko hvyo
Duh...Halafu songa sio bora bali anaweza wapo bora ambao ukisikiliza huchokii kama nicki wa pili
Labda katumia kigezo cha elimu hahahaDuh...
Mkuu...
SONGA VS NIKKI WA PILI..!?
Huyu Nikki wa pili wa WEUSI au..!?
Hakuna MWEUSI wa kumfananisha na S.O.N.G.A...
Acha kumvunjia heshima SONGA bhana...
Lakini sawa,siwezi jua umetumia vigezo gani mwenzetu..!
Labda katumia kigezo cha elimu hahaha
Vijana wa ngololooo hao [emoji23]Metaphors and word play
Sijui kama unajua chochote kuhusu hayo maneno mawili if u do sidhan kama ungeongea statement ya kichoko hvyo