Songa ndiye emcee bora tamaduni music

Ngoma gani hiyo mkuu..!?
 
vina mi ndo mmea uliomwema huu mda wa kutubu hadi tax bubu leo itasema
 
Songa:
Hasira za nini, sijawai kumtukana mtu ata kama simjui, zaid nakuupuza, jitihidi kua huru kusikia usichopenda
Ungekuwa na busara ungeacha watu wajadili interest zao na sio kukejeli na kukashifu
Busara ni kitu cha bure na hukuongezea heshima
 
Punguzeni kuwapa watu sifa ambazo hawana.One Incredible (Harry Kaale) alifeli form 4 then aje ku-graduate UDSM tena Bachelor of Mathematics ?

Nafikiri kuna kipindi alikuwa anasoma UCC,
ROMA ndio graduate wa UDSM Computer Science
check youtube kwenye cheusi dawa tv utapata kuona wanakundi la illimatix walipokutana,utaweza jua history ya kila m1 na one the incridible akiwepo kwny hlo kundi,kama alitudanganya na wewe ulisoma nae sawa
 
One Incredible ana diploma ya ICT kasoma UCC
 
Njoo Kilingeni Jmos pale NEW MSASANI Club... Utapata zaidi Mkuu.. Njoo ukutane na Kizazi cha HIP HOP -TAMADUNI MUSIC
Asante sana mkuu...
Nawaelewa sana hawa jamaa...
So bila shaka nitaanza kuudhuria mkuu...
Kusikiliza nyimbo zao bila kusapoti wanachokifanya kwa vitendo ndio changamoto inayofanya GAME iwe ngumu kidogo upande wa HIP-HOP..!
 
wakiniona mi na shine wanachonga,mana kila line wanaponda vipi nikisine na anaconda...by nick mbish
 
Asante sana mkuu...
Nawaelewa sana hawa jamaa...
So bila shaka nitaanza kuudhuria mkuu...
Kusikiliza nyimbo zao bila kusapoti wanachokifanya kwa vitendo ndio changamoto inayofanya GAME iwe ngumu kidogo upande wa HIP-HOP..!
Naam Mkuu Mixtape pamoja na Album zao kali unapata pale kwa bei nafuu sana, bei ya kizalendo hasa.

Pia hata kubadilishana mawazo juu ya HUU MZIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…