Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Kijana hata msanii unaemshangilia humjui jina lakeSasa wewe ndo unazingua...
One the Incredible anaitwa HARRY KAALE...?
Kapekue tena mafaili yako vizuri mkuu..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana hata msanii unaemshangilia humjui jina lakeSasa wewe ndo unazingua...
One the Incredible anaitwa HARRY KAALE...?
Kapekue tena mafaili yako vizuri mkuu..!
Ngoma gani hiyo mkuu..!?acha nikeshe booth
Kicheche akeshe uchi
Usiku apewe ngoma na
Kesho asepe bush
Sina ustaa kivipi
Niupende uzushi
Navyoinukisha mitaa
utadhani Nina genge la uzushi
Shtuka mmbongo
kua na ubongo wa future
wangapi wanatoa hongo
na kwenye mchongo wanashushwa
Ukweli unaishi
uongo unakufa maneno
hujengwa na maandishi
Kwa kua udongo una nyufa
Songa
Ahsante mkuu...Kijana hata msanii unaemshangilia humjui jina lake
Mixtape flan Kali sanaNgoma gani hiyo mkuu..!?
Ungekuwa na busara ungeacha watu wajadili interest zao na sio kukejeli na kukashifuHasira za nini, sijawai kumtukana mtu ata kama simjui, zaid nakuupuza, jitihidi kua huru kusikia usichopenda
Mmh...Mixtape flan Kali sana
zinaitwa "Duke Tourchez"
Vijana wote watamaduni
wanapita kila nyimbo ina dakika 6 mpaka 12
Njoo Kilingeni Jmos pale NEW MSASANI Club... Utapata zaidi Mkuu.. Njoo ukutane na Kizazi cha HIP HOP -TAMADUNI MUSICMmh...
So mchezo...
Nazipataje hizo mixtape zao mkuu..!?
check youtube kwenye cheusi dawa tv utapata kuona wanakundi la illimatix walipokutana,utaweza jua history ya kila m1 na one the incridible akiwepo kwny hlo kundi,kama alitudanganya na wewe ulisoma nae sawaPunguzeni kuwapa watu sifa ambazo hawana.One Incredible (Harry Kaale) alifeli form 4 then aje ku-graduate UDSM tena Bachelor of Mathematics ?
Nafikiri kuna kipindi alikuwa anasoma UCC,
ROMA ndio graduate wa UDSM Computer Science
check youtube kwenye cheusi dawa tv utapata kuona wanakundi la illimatix walipokutana,utaweza jua history ya kila m1 na one the incridible akiwepo kwny hlo kundi,kama alitudanganya na wewe ulisoma nae sawa
Ok kadgo alisema wamekutana na one the incridible udsm,na wkat huo kadgo alikua anasoma b.of math's,kwa picha ya haraka mtu akisema hvo maanake wamesoma wote...hata kama ana diploma ya ICT sio caseOne Incredible ana diploma ya ICT kasoma UCC
Pita kilingeni mkuuMmh...
So mchezo...
Nazipataje hizo mixtape zao mkuu..!?
Asante sana mkuu...Njoo Kilingeni Jmos pale NEW MSASANI Club... Utapata zaidi Mkuu.. Njoo ukutane na Kizazi cha HIP HOP -TAMADUNI MUSIC
wakiniona mi na shine wanachonga,mana kila line wanaponda vipi nikisine na anaconda...by nick mbish
Fidodido...Zaiid kipambau mbau
Naam Mkuu Mixtape pamoja na Album zao kali unapata pale kwa bei nafuu sana, bei ya kizalendo hasa.Asante sana mkuu...
Nawaelewa sana hawa jamaa...
So bila shaka nitaanza kuudhuria mkuu...
Kusikiliza nyimbo zao bila kusapoti wanachokifanya kwa vitendo ndio changamoto inayofanya GAME iwe ngumu kidogo upande wa HIP-HOP..!