Songa ndiye emcee bora tamaduni music

Fidodido...
Hawa watu ni hatari sana...
Yaani yaani TAMADUNI MUSIC unapata kila aina ya radha ya hip-hop...
Kama ni MTU wa kupenda maflow fulani ya swagger basi huyu MTU wa kuitwa ZAIID atakupa burudani ya kutosha...
Hawa jamaa wako vizuri bhana
Hataree sana Kuna hii nyimbo ya cjamoker +P the Mc +zaidiii inaitwa nanii asee zaiid kanipagawisha na flow yake namkubali sana huyu kiumbe
 
Mia...
Alafu kuna mashine nyingine inaitwa illmatix...
Nimemkuta kwenye nyimbo za Songa...
Hivi huyu jamaa na yeye yuko tamaduni au..?
mkuu illmatix siyo mtu, ni kundi dogo ndani ya tamaduni muziq linaloundwa na (xonga, moko wa miujiza na six o'clock.)
 
mkuu illmatix siyo mtu, ni kundi dogo ndani ya tamaduni muziq linaloundwa na (xonga, moko wa miujiza na six o'clock.)
Ooh...
Asante kwa kunifahamisha mkuu...
Basi ni huyo six o'clock niliyemsikia..!
 
kuna ngoma ya baba Malcom
Nick mbish Ft. Becka Tittle

ni hatari hii ngoma sijui kwanini akina rick ross waonekane juu ya Nick mbish baba malcom

BANGO
Ahahaaah...
Umenifurahisha sana mkuu...
Tatizo sisi WABANTU huwa hatuthamini vya kwetu wenyewe..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…