chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Hataree sana Kuna hii nyimbo ya cjamoker +P the Mc +zaidiii inaitwa nanii asee zaiid kanipagawisha na flow yake namkubali sana huyu kiumbeFidodido...
Hawa watu ni hatari sana...
Yaani yaani TAMADUNI MUSIC unapata kila aina ya radha ya hip-hop...
Kama ni MTU wa kupenda maflow fulani ya swagger basi huyu MTU wa kuitwa ZAIID atakupa burudani ya kutosha...
Hawa jamaa wako vizuri bhana