Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika Kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.

Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.

Tumezungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi wa mkoani Ruvuma ACP Joseph Konyo amesema wanamshikilia mtu mmoja kutokana na tukio hilo.

Chanzo: ITV
 
Nani kayachoma ?
Yaani tumeshathibitisha kwamba yamechomwa ?

Haya mambo bila uhakika tusijejikuta tunafuata mfumo wa an Eye for an Eye utakaopelekea wote kubakia vipofu
 
Ugomvi wa kugombea sadaka lakini watawasingizia wengine, serikali iwe makini na haya makanisa ya wachumia tumbo aka Kibwetere's
Yapi ambayo sio ya wachumia tumbo nikupe data...
 
hawajadhulumiana sadaka kweli? mimi sioni kama kuna haja ya kuliingiza tukio hili na kulilinganisha na wale jamaa wengine, hawa watafutwe woote waaseme ukweli wao
 
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika Kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.

Chanzo: ITV

Soma zaidi.-https://bit.ly/3DUCnkz
Hayo ni madhehebu.......
kanisa ni moja tu ambalo ni katoliki
 
Back
Top Bottom