Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

Kwa akili za kuzaliwa tu, kwanini hicho kipindi chote ambacho Uamsho ulikaa ndani miaka 8 hakukutokea ugomvi wa sadaka hadi makanisa yachomwe ije itokee leo hii?
ITV wamerudia habari na jeshi la polisi amesema nani kahusika ,wavaa misuli tabu tupu
 
Uamsho uko Songea?

Zanzibar hakuna makanisa?

Makanisa hayawezi kuwa na migogoro?
Nani Wana historia ya kuchoma makanisa Tanzania hii ?historia hujirudia
 
Uamsho Zanzibari na hayo majanga yenu Songea.. Waacheni kuwa fitinisha Wakristo na Waislamu kwa tamaa zenu za madaraka..
 
Shule za kiislam zimechomwa mara ngapi?

Mbona ukristo haukuwahi kuhisiwa?

Ni bora kukaa kimya wakati ambao unakuwa umetawaliwa na hisia.

Bahati mbaya sana unakuta hata vyombo vya dola vina watu wenye kuwaza kama wewe.

Hakika bado tuna safari ndefu.
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haileti picha nzuri
Rais alikosea sana kuwaachia wale magaidi ya Zanzibar
Ulichokiandika wewe ndo kinaleta picha nzuri?Unadhan kuna atakaekusifia kwa kuandika huu ujinga? Umewaza nn aisee😏
 
Back
Top Bottom