Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

Polisi walivowavivu kupeleleza,

uyo alokamtwa Watasema Ni ugaidi

20210904_142700.jpg
 
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.

Tumezungumza kwa njia ya simu na Kamanda wa Polisi wa mkoani Ruvuma ACP Joseph Konyo amesema wanamshikilia mtu mmoja kutokana na tukio hilo.

ITV
Hayo sio makanisa ni vibanda umiza,kanisa la mabati au makuti nalo kanisa
 
Shida nini? Au raia wamechoka na kelele za usiku kucha?
 
Hawa ndugu zake Hamza hawa, wakikamatwa tu majina yatawaumbua
 
Ugomvi wa kugombea sadaka lakini watawasingizia wengine, serikali iwe makini na haya makanisa ya wachumia tumbo aka Kibwetere's
Watu wa dini ile ya Hamza hawakosekani, subiri Polisi wataje majina ya wanaotuhumiwa
 
mbona shule za kiislamu nyingi zinaungua moto hatusemi wamechoma wakristo na hakuna anaekamatwa ila kanisa ikiiungua waislamu lazima wakamatwe. na hii inatokea sana rais anapokuwa muislam
 
Wajameni tafadhaaaaaaali sana wenye mamlaka msaidie wafunguzi wa makanisa kwa maana ya wachungaji na wamiliki wa makanisa walau wawe na shahada ya theology tafadhaaaaaaali.
Serikali hairuhusiwi kuingilia hizo mambo mkuu
 
Hawafundishwi chuki wala kisasi wala ugaidi
mbona shule za kiislamu nyingi zinaungua moto hatusemi wamechoma wakristo na hakuna anaekamatwa ila kanisa ikiiungua waislamu lazima wakamatwe. na hii inatokea sana rais anapokuwa muislam
 
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika Kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.

Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.

Tumezungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi wa mkoani Ruvuma ACP Joseph Konyo amesema wanamshikilia mtu mmoja kutokana na tukio hilo.

Chanzo: ITV
Hata huu ujumbe umeandika kama unakimbia moto.

Mk 12:17

Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana.
 
Back
Top Bottom