antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kuna awamu za watawala fulani mambo kama hayo lazima yatokeeMakanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika Kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.
Tumezungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi wa mkoani Ruvuma ACP Joseph Konyo amesema wanamshikilia mtu mmoja kutokana na tukio hilo.
Chanzo: ITV
Mbagombea sadaka Hadi kufikia kuchoma makanisa,
Wanapata credit zaidi wao wanaothibitika kuwa wako kwenye kundi linalodhaniwa kuwa ni la wababaishaji, lakini wao si wababaishaji.Mengi yoooooote yaliyobaki ni ya wababaishaji watupu.
mimi na mashaka na WEWENina mashaka na wazee wa uamsho. Tulishayasahau haya mambo
MIMI NAJUA NI WEWEITV wamerudia habari na jeshi la polisi amesema nani kahusika ,wavaa misuli tabu tupu
Vingapi hairuhusiwi na wanafanya?Serikali hairuhusiwi kuingilia hizo mambo mkuu
sawa KAFIRIShule zikichomwa na wafia dini wanasema ilimu dunia ni haramu kweli ujinga ni mzigo