Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ulivyo mbumbumbu unadhani hizo barabara zitakuwa hivyo milele?Mbeya kuna kipi hasa zaidi ya vibajaji??
Barabara nyembamba kama uchochoro
Mkuu taratibu, heshimu miji ya watu.Shida ndio inaanza maeneo ya kutoka na Familia kula upepo hakuna kabisa Songea
Mbeya Sijajua kama kumebadilika huko Nilitoka mwaka 2016 nina miaka sita sasa
Mbeya hakuna mipango miji, Watu wamejenga hovyo hovyo tu hakijulikani ni njia ya gari au ya miguu mtaani
Mbeya ni centre ya uchafu
Huna sifa za kuishi Dar wewe size yako ni huko kwenu kwenye bangi nyanda za juu kusiniKwanza 80% ya watu wa Dar wanaishi huko kwenye uswazi na Kuna Nuka..
Moja ya Jiji la hovyo siwezi kuishi ni Dar.
Tuambie kwenu wapi wewe tuone kama umepaendelezaUnajua maana ya ushamba wewe? Unadhani kusoma kunaondoa ushamba? Watu wa huko bukoba na kanda ya ziwa kwa ujumla muna ushamba Tena ule wa asili Yani hamubadiliki kabisa. Hata muende wapi mutajulikana tu akina nshomile ..kwenu hamupaendelezi eti munasubiri serikali ..ujuaji mwingi na kujiona ninyi Ni Bora kumbe Ni ushamba tu umewajaa ..dada zetu wamepewa Hadi mtaa apo dar kisa umalaya. Hamuna jipya ninyi ndio maana umasikini umewajaa ..Mimi Sina chuki na wahaya Ila huo ushamba wenu ndio unawacost.
Kumbe mchumba unatokea songea2025 songea na wilaya zote huku
Kura zote kwa ccm[emoji123],
Muendelee kukandamizwa huko mikoani kwenu,
Tunahakikisha unga mtanunua kilo sh,5000 na maharage kilo sh,8000
Hatunaga stress,tumeridhika na songea yetu.
Atleast mwanza wanaweza kujipiga kifua na kusema tumeendelea km darPost #15 ndiyo jibu, enyi viumbe msiosikie wala kutaka kuelewa.....wakaidi.
Tusipoukubali ukweli huo zitashuka nyuzi humo za kuponda kila sehemu (ingawa najua kusini ndo wahanga no.1 wa hili......huwa wanapondwa mpaka na watu wanaotoka kwenye kata zilizosheni vibanda vilivyoezekwa na kinyesi cha ng'ombe, tena ndo wengi hao hatari. Nimemuona mmoja keshajitokeza hapo juu anasema yeye hata siku moja tu imemshinda kuishi lindi na hivyo yuko njiani anaelekea sehemu nyingine. Hahahahahaha, hongera yake!)
Haya, huyo mdau wa post hiyo alichoshwa na mbeya baada ya kukuta mambo tofauti na alivyokuwa anafikiria (bila shaka mitandaoni kama hivi). Sasa kutabaki wapi tena kusikopondwa ikiwa hata tunalojivunia kuwa ni jiji lina hali hiyo.
Kwa Tanzania hii, NJE YA DAR, sijaona tu sehemu yenye hadhi ya kutosha kuponda sehemu nyingine. Tunahangaika tu. Tuhamasishane kufanya kazi labda tutaendelea huko mbele....watoto, vijana, watu wazima na wazee kutoka pande zote za nchi hii, kila siku, wanakimbilia au wanaitamani dar.
Tukuyu sehemu gani unaishi ili upewe ukweli wako, Maana mimi Mkinga nimetembea sana hukoMkuu taratibu, heshimu miji ya watu.
Sitokei Mbeya Ila binafsi napapenda. Kule Tukuyu ni mahali pazuri Sana. Kule Rungwe Pako poa mno.
Uchafu wa Mbeya labda ni Hapo Nzovwe na Mwanjelwa.
Unapozungumzia mahali ni lazima uhusishe na watu wake. Wale wadada wa kinyakyusa ni wakarimu Sana.
Wakati mwingine matarajio na matamanio yako binafsi yabaki kuwa yako Mkuu. Kumbuka tofauti ya kimtamzamo ndio inayoifanya dunia iendelee kuwepo.
Relax.
Mkuu hiyo ni Fasihi ya uandishiUzuri wa humu hatujuani, hivyo unaweza kuandika chochote, ukamsha mtu hata kama humfahamu, eti sina Exposure una evidence gani huku ukiwa hunifahamu.
Mimi sijakataa kinachotamkwa, yaani Mtwara, nimekataa alichoandika N'twara, na ipo kwa watu wa kigoma wanatamka Mutu, badala Mtu, wakurya Uchi, badala Uji, Wachaga, Penye herufi L, wao huitamka R, Wasukuma alikwendaga, badala ya Alikula.
Ila hao wote, Kwenye maandishi, hayaathiliwi, na mother type.
Zee la mjini weweMkuu hiyo ni Fasihi ya uandishi
Wewe sasa ni kichwa cha panzi huelewi lengo la muandishi bado
Muandishi ameandika kama kuwakejeli watu wa Mtwara, Neno M wanatamka n ndio maana kaandika Ntwara
Hata mimi napenda Mwananke ya Ntwara inakatika sana mauno
Na wewe basi hata uelewi
Huko kuna usemi wao "Mwananke yule kunoga sana"
Huna exposure wewe, Tembea uone
Sasa ukifika kilwa masoko huko wewe utalia sana, Huko hakuna neno naomba, Hakuna neno Samahani
Huko kitu ni chako lakini mtu anakuambia kwa command
Hata wewe Kilaza hapa JF Inaonekana kunoga sana
Ntwara huko kuna "kunoga sana"
Ndio tumuulize mtoa Post kuwa amekuja Songea hipi ambayo haina mabadiliko kimapato na ,kimiundombinu?[emoji1787]Lakin mbona NBS inautaja kuwa top five ya mikoa tajiri nchini kwa GDP kuzidi mikoa maarufu kama Kilimanjaro, kagera nk
NBS inataja mkoa wa Ruvuma kama mkoa wa nane nchini kwa maisha bora[emoji23] sasa sijui wanatumia vigezo vip
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Purchasing power ====¿¿¿Kuachana na maendeleo ya vitu ,Ila songea wanafaidi vyakula,unaenda kula mahala wali kuku ,unaletewa bongemsosii mzito ,Tena kuku wakienyeji karibu nusu ,kwa buku jero tu
Yaan jamaa inaonekana alifika sehem moja akaakaa kisha ndio akaandika post..sidhan kama alienda katika ya mji namna Magorofa yalivyojengwa..Barabara zilizovyotandazwa kuelekea Tarafa mbalimbali na Soko jipya la kisasa linalotarajiwa kujengwa kisasaSongea Mjini ukitaka upate refreshment utembee mida ya jioni uwe na usafiri. Kama ulifika Bombambili ukakaa Hapo Hapo utasema mji mbaya. Piga Route kutoka Shule ya Tanga,Msamala,Bombambili,Matarawe,Mjini,SeedFarm, Ruhuwiko
Sahii saiv waawekezaji wengi sana toka Rwanda na Kenya wananunua Viwanja kuwekeza Sheli ,Yafi na Rodge jamaa sijui alifika Songea ya wapSongea Mjini pametanuka sana tofauti na Zamani, Makaa ya Mawe Kitai yametoa ajira na magari makubwa mengi yanapita njia ya Njombe na Tunduru raia wameanza kujiongeza Kwa kuweka Parking za kulaza magari na Lodge njiani
Hata makaa ya mawe yanawabeba kwenye GDPGDP=Gross Domestic Products
GDP ni Jumla ya bidhaa au huduma zilizozalishwa kwa kipindi husika mara nyingi hupimwa kwa mwaka mmoja
Songea wanalima Mahindi na sio Songea tuseme Mkoa wa Ruvuma
Yawezekana wanalima sana lakini yanasafirishwa nje ya mkoa au nchi huku wakulima wakilipwa makombo na mkoa ukibakiwa na leftovers tu
GDP inakuwa assigned in Monetary terms yaani Value
Ndio maana kuna malalamiko mengi kuhusu Pato la mtu mmoja mmoja yaani per Capita income
Per capita income=GDP gawa kwa idadi ya watu P, Population
Sasa Yawezekana Kilimo cha mahindi Songea wamehodhi wafanyabiashara wachache wakubwa na hii inaathiri mahesabu ya GDP pamoja na Per capital income
Angalia idadi ya watu Songea mjini Halafu Angalia uzalishaji wao, Yawezekana idadi ya watu ni ndogo sana hivyo inafanya GDP ionekane kubwa sana
Mfano Mbinga ina Kahawa hata GDP yao Itakuwa kubwa kutokana na uuzaji wa Kahawa lakini Kiuhalisia maisha ya Mbinga kwa Raia ni hovyo hata wilaya yenyewe,
Je Katika bidhaa au huduma zinazozalishwa kiasi gani kinapatikani kujenga Songea, Yawezekana GDP ni kubwa kutokana na Kahawa Mbinga, Korosho Tunduru na Mahindi Namtumbo
Songea wao wanabakiwa na kitu gani au uwezo wa GDP ya Mbinga ndio inaathiri Songea ionekane hali nzuri
Mkuu vipimo vya GDP hivi ni economic theory na zina limitation nyingi na zina boreshwa kila siku, Sio halisia sana
Songea hakuna viwanda vya maana vinavyoajiri watu wengi na Kutengeneza uzalishaji, Uzalishaji mkubwa unao boost GDP yao ni Mahindi na Kahawa ya Mbinga, Lakini Mashamba makubwa Mbinga au ya Mahindi unakuta yanamilikiwa na watu wachache Wengine wanalima kidogo sana kwa chakula na kuuza hivyo inaathiri Maendeleo ya Songea
Soma tafiti zinasemaje, We don't have data's ndio maana nimeuliza mbona mkoa haupigi hatua upo pale pale miaka yote lakini hapa nimeuliza mji wa Songea sio mko wa Ruvuma
Uangalie vizuri ule mji wa Songea tu achana na mkoa wa Ruvuma , Songea kama mji kuna shida,Mjk hauna infrastructure za maana
Mkuu, Namtumbo ni pabaya sanaUsiseme inafanana na baadhi ya wilaya za mikoa mingine sema inafanana na Wilaya ya Namtumbo ambayo ipo ndani ya mkoa huo wa Ruvuma
OVER
Mkuu, vipi kuhusu Tanga, kama umewahi fika? Na mrejesho kuhusu Lindi upo humu, maana ndio kwanza niko page 1.Shida ndio inaanza maeneo ya kutoka na Familia kula upepo hakuna kabisa Songea
Mbeya Sijajua kama kumebadilika huko Nilitoka mwaka 2016 nina miaka sita sasa
Mbeya hakuna mipango miji, Watu wamejenga hovyo hovyo tu hakijulikani ni njia ya gari au ya miguu mtaani
Mbeya ni centre ya uchafu
Mndendeule umechukia kupita maelezo.Jenga wewe hayo maghorofa na sisi tuyaone