LGE2024 Songea: Mke (CCM) amkaanga Mumewe (CHADEMA) Kwamba Hawezi Uongozi Asichaguliwe

LGE2024 Songea: Mke (CCM) amkaanga Mumewe (CHADEMA) Kwamba Hawezi Uongozi Asichaguliwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huyu ni Mke wa mgombea kwa tiketi ya Chadema Mtaa wa Mfaranyaki, Manispaa ya Songea akimuombea kura Mgombea wa CCM akidai mume wake "hawezi".

Wenzenu wametega mitego ya maokoto nyinyi mnapata shida. Nimeamini why mfalme Sulemani aliamua kuomba Hekima na Busara ambapo akili haiwezi kukaa mbali na mtu mwenye hekima na busara
 
Back
Top Bottom