The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu waliwafanya nini watu wa liula au mambo yetu ya lupatu yaleDuh iyo Liula isikie tu kwa watu, Sitasahua Gari ilivyogoma kuondoka, mpaka leo nalikumbuka hilo eneo heshima kwao
Togwa sio pombe mkuuPombe ambazo hazijapimwa ni za kuogopa.
Lakini Haina kilevi kule Ni sodaTogwa ni kama pombe tu
Mkuu Kuna jamaa yetu alifiwa tukaenda kuzika,,,tukafika salama tukazima gari. Tulivyomaliza shughuli ya mazishi washa gari tuondoke likawaka ile kukanyaga moto tuondoke gari wapi inapiga tu lesi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu waliwafanya nini watu wa liula au mambo yetu ya lupatu yale
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yaan ww ni mjinga kabisa unawezaje kuwaita wenzio primitiveMuda mwingine hamna watu wa hovyo kama primitive bush mans! Togwa lingemaliza kijiji.
Duh ama kweli uchawi upo wazee wa liula kwani walikosewa nin au waliamua kuwatia hasara iyo noma sana huwa nasikia tu ayo mambo lakin bado hayajanikuta mkuu ila sio powa kabisaMkuu Kuna jamaa yetu alifiwa tukaenda kuzika,,,tukafika salama tukazima gari. Tulivyomaliza shughuli ya mazishi washa gari tuondoke likawaka ile kukanyaga moto tuondoke gari wapi inapiga tu lesi.
Mkuu hatukitoka mpaka siku ya pili, lupatu ya pale nakumbuka mpaka leo Liula.
Mkuu Yani tuliishiwa pozi Mana fundi kafika anabaki kucheka tu. Afu wenyeji hata hawashangai.Duh ama kweli uchawi upo wazee wa liula kwani walikosewa nin au waliamua kuwatia hasara iyo noma sana huwa nasikia tu ayo mambo lakin bado hayajanikuta mkuu ila sio powa kabisa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fundi alishajua mchezo mzima liula oyeeeeeeMkuu Yani tuliishiwa pozi Mana fundi kafika anabaki kucheka tu. Afu wenyeji hata hawashangai.
Yaan ww ni mjinga kabisa unawezaje kuwaita wenzio primitive
Ndio neno la Kiingereza analojua kapata pa kulitumia mjinga huyoYaan ww ni mjinga kabisa unawezaje kuwaita wenzio primitive