Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Hapakuwa na Food tester, Sheria zetu zinasemaje kuhusu Vyakula vinavyoliwa kwa hadhara yani penye mkusanyiko? Viongozi wawe responsible mana hapo nadhani before umati wa watu haujawa served ilipaswa food tester mtu ale na anywe walau nusu saa kabla ya umati kupewa msosi