Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

umekuja mjini juzi unajiona umeendelea. Kajifunze adabu ya kuongea na watu kwanza
Boko haramu ilianzishwa na mtu mmoja anayeitwa Mohamed Ali 2002 malengo yake yalikuwa haya
1. Kupinga elimu ya magharibi
2. Kuanzisha dola la kiislamu
3. Kufuata sharia
Sasa hivi Boko Haram inasumbua nchi ya Nigeria, wanateka na kuua watu wasiokuwa na hatia. Msumbiji bila kusaidiwa na jeshi la Rwanda wale wanamgambo wa kiislamu wangekuwa moto sana.
Utasema ni Marekani ndiyo anawafadhili. Kwanini iwe nchi za kiislamu tu maana hiyo imani yenu ni dhaifu? Pakistan, Nigeria, Somalia n.k
China, Vietnam, Urusi, India hatuoni makundi ya kikagaidi.
 
Ikiwa kweli walikuwa na training camps na zimeharibiwa hawastahili kuishii uraiana
 
Ndivyo alivyokutonya Nabii wako Tito?
 
 

Attachments

  • VID-20221221-WA0026.mp4
    15.8 MB

Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu​

Yaani watu 6 wapinduwe Serikali hata kuku hana akili hiyo

World Cup ya muafrika imeanza
 

Attachments

  • VID-20221221-WA0026.mp4
    15.8 MB
dini ya kiislamu naiheshimu ila sijawahi kuielewaga kabisa hiyo dini na waumini wote waliomo humo sijui kilichoandikwa kwenye quran na wanavyoishi ni mambo mawili tofauti... uchawi wamo, ushirikina wamo, ugaidi wamo .. fekeche kibaopia wamo daaah aisee
 
Huwezi kuuelewa Uislamu hata siku moja.

We fikiria baadhi waumini wake wanapanga njama za kuipindua serikali, wanajiripua mabomu kila kukicha na kuua maelfu ya watu

Kufanya Ugaidi ni kama ibada kwao

Juhudi zote hizi ni kupigania zawadi ya kupewa pombe na wanawake.

Ukiwaambia waende hapo Liquidi Kurasini Temeke Daresalaam kuna pombe na wanawake wa kumwaga hawataki.
 
Huwezi amini hizi mahakama za mbuzi na majaji wa kufanya kazi kwa vimemo, ndugu zetu bahati mbaya imewakuta tuu hakuna kesi hapo
 
mmm!
Hamsa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…