Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

dini ya kiislamu naiheshimu ila sijawahi kuielewaga kabisa hiyo dini na waumini wote waliomo humo sijui kilichoandikwa kwenye quran na wanavyoishi ni mambo mawili tofauti... uchawi wamo, ushirikina wamo, ugaidi wamo .. fekeche kibaopia wamo daaah aisee

Ni kweli ila wamekosa hii tu kama wakristo

e63d282a-8d0f-4f5a-9d6a-5d6d4aaecaa6.728b9b394e1f523c69fcb3ceb1db1cb1.jpeg
 
Huwezi amini hizi mahakama za mbuzi na majaji wa kufanya kazi kwa vimemo, ndugu zetu bahati mbaya imewakuta tuu hakuna kesi hapo

Majaji ndio wale wanaofoji vyeti na kubadilisha majina.

Hao vijana ni masikini lakini wangalikuwa na kitu kidogo wangetoka huru
 
Majaji ndio wale wanaofoji vyeti na kubadilisha majina.

Hao vijana ni masikini lakini wangalikuwa na kitu kidogo wangetoka huru
Kulikuwa na Jaji mmoja alikuwa Prof na ni mnyarwanda akawa Tz anakula rushwa na kufunga watanzania.

JPM alimtumbua
 
Fanya hivi utakuja kunishukuru baadae.
Hapo nyumbani kwako, tafuta vijana kama 5 tu. Waambie unataka kupindua nchi, wape hela halafu fanya vikao 3 vinavyohusu kupindua nchi. Mdokeze jirani mbea mbea hivi akawambie polisi unafanya kikao cha kupindua nchi.
Kama haujafungwa mpaka uchakae na ndugu zako watakusahau. Fanya hivyo halafu ulete mrejesho si unasema mpaka jeshi.
Kitendo cha kukaa kikao na kupanga machafuko au kuanzisha jambo lolote ambalo litaleta uvunjifu wa amani ni kosa kishera na lazima uwajibishe.
Ungejaribu wewe kwanza, mimi sina mawazo hayo wala uwezo wa kufanya hivyo. Naendelea kuhangaika kutafuta riziki yangu tena kwa njia za halali.
 
Back
Top Bottom