Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu




Ni kweli ila wamekosa hii tu kama wakristo


 
Huwezi amini hizi mahakama za mbuzi na majaji wa kufanya kazi kwa vimemo, ndugu zetu bahati mbaya imewakuta tuu hakuna kesi hapo


Majaji ndio wale wanaofoji vyeti na kubadilisha majina.

Hao vijana ni masikini lakini wangalikuwa na kitu kidogo wangetoka huru
 
Majaji ndio wale wanaofoji vyeti na kubadilisha majina.

Hao vijana ni masikini lakini wangalikuwa na kitu kidogo wangetoka huru
Kulikuwa na Jaji mmoja alikuwa Prof na ni mnyarwanda akawa Tz anakula rushwa na kufunga watanzania.

JPM alimtumbua
 
Ungejaribu wewe kwanza, mimi sina mawazo hayo wala uwezo wa kufanya hivyo. Naendelea kuhangaika kutafuta riziki yangu tena kwa njia za halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…