Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

unapanga kupindua bila ya jeshi? Ajabu ilioje.

Siyo kama hawana makosa, lakini hiyo tena kidogo chumvi imezidi
Hiyo siyo chumvi mkuu. Wamepanga kuondoa uongozi uliopo madarakani ili waweke uongozi wa Kiislamu. Wakati wanafanya harakati zao ni kipindi Magufuli ni Rais ambaye ni Mkristo. Hapo ushaelewa kesi ya uhaini inatoka wapi.

Katika kuondoa uongozi huo watatumia njia za kigaidi, kuhamasisha mapigano na mauaji na jihad labda. Hapo ni ugaidi.

Kupanga mapinduzi sio lazima uwe na jeshi. Aliyeandaa jaribio la kwanza la mapinduzi la Nyerere hakuwa na cheo jeshini wala serikalini, kama sikosei alikuwa mfanyabiashara. Na hawa hawakuwa level ya kushirikisha watekelezaji, ndio kwanza walikuwa wanakula njama. Btw ni wapuuzi fulani localised
 
Hiyo Serikali ya Somalia ndio wale njama kuipindua? wacha niendelee kuwasikiliza huku nikivuta popcorn yaani wahuni tu waipindue Nchi..
 
Hivi Nyerere alivyouwa watu Zanzibar kwa maelfu , ni nani mkristo aliyeguswa?
 
ila makafir mna hila ?

wakati hayo yote yanafanyika ilikua kimya kimya hakuna hata chombo cha habari kimoja kllichowahi kuripoti matukio hayo ?

mbona mimi ndio najua sasa hv sikuwahi kusikia fununu popote ?🤔
 
wakati huo kulikuwa na mtawala viroba(ukimchezea upo baharini) hivi kweli niamini hawa kawaachia tu?. Hata Mwenyekiti wa Chadema alipewa kesi ya ugaidi nae, Jee alikuwa gaidi kweli?.
 
ndugu watatu hii kesi fake , ila hawana watetezi sababu ni waislamu ingekuwa wafuga govi ndio wamefungwa kila siku kelele
 

kwa hiyo mbowe alianza taratibu mbona kaachiwa na alikutwa hana kesi ya kujibu
 
Habari kama hii ni vzr sana kuweka picha za wahusika kwa faida ya baadae maana tunaweza kukutana nao mitaani ama ndugu zao, picha hua inaongea
 
Alisema malengo yalikuwa kuongoza kwa kutumia sheria za Kiislamu, washtakiwa walipekelekwa nchi mbalimbali zenye uongozi wa Kiislamu kwa ajili ya mafunzo zaidi ya Jihad kinyume cha sheria na taratibu za Jamhuri Muungano wa Tanzania.
Nani aliwapeleka huko.? Lakini Tanzania ni "secular state". Mtu kujitafutia elimu ya. Dini linakuwaje kosa?. Vinginevyo, sikuelewa labda maelezo nitayapitia Tena. Kumradhi kwa wale nitakao kuwa nimewakwaza
 
Hivi Nyerere alivyouwa watu Zanzibar kwa maelfu , ni nani mkristo aliyeguswa?
Je kikwete alivyoua watu kwenye operesheni tokomeza ni muislamu gani aliguswa? Mtoto wa kiume anaambiwa amuingilie mama yake mzazi mbele ya askari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…