Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

tuna sheria za kijnga kichizi
 
Sio kikwete
 
Mchina anafnya custumization vile unatka mteja ndo mana BM na Kidia zina maliwato japo ni haja ndogo tu sio mbaya
Sawa Mkuu, ila bado haitoshi waruhusu tu ziwe na full service toilets maana kuna dharura pamoja na magonjwa chungu nzima.

Kuna raia huko juu aliongelea busi zinazotengenezwa Uganda hapo, mabasi yao yanakuja standard na full service toilets, fridge na linabeba abiria 49(kama sijakosea. Service life ndo bado haifahamiki, ila seems a good choice).
Je, wanaweza ruhusu basi kama hiyo?
 
Kum be[emoji16],,,,mie kiwanjani na makita

Nyumbani huruma Airport kule now kuna majumba,msitu upo pale shuleni kwenu tu[emoji16]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema Huruma walikuwa wanaongoza kwa ufaulu na usafiβœ…
 
Yaani safari uliyotakiwa kutumia ndege , unaona ufahari kulala kwenye mabasi. Aliyeturoga ni nani ?
Mkuu Afrika kusini ni nchi iliyotuzidi mambo mengi sana but hata kule mabasi yanayotoka Zambia ni mengi na wengi wanatumia kuliko ndege.

Ila nakushauri waachie watu usafiri wao.
 
Naendelea kujifunza tatizo la elimu linawasumbua vijana wengi sana.
Zipo marcopolo ambazo mchina hasogezi pua lakini siyo hizo za arusha exp!
Hizo mkuu kazipambanishe na akina najimunisa, super champion na wengine wa kabila hiyo!
Sijui kama umenielewa reply yangu kulingana na ulichoandika, vinginevyo una tatizo la kuelewa.
 
Mwanza -Songea kupitia Dar ni ruti kichaa ..atapata hasara kwa sababu tayari anagari Songea-Dar kupitia Lindi..pia kampuni za Mwanza -Dar ziko kama uchafu
Zile scania G7 saba alizoingiza zitamlipa kwa ruti ndefu ya Mwanza songea, mwanza mbeya.pia apige ya Mwanza Songea kupitia Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…