Songea: ujenzi wa chuo cha IAA wafikia 77%, wananchi watoa pongezi kwa rais samia

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Tawi la Songea, umefikia asilimia 77. Chuo hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 4,500 kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza fursa za elimu ya juu, kukuza ujuzi na kuchochea shughuli za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…