Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii haswa anatambuliwa kwa kujaza uwanja?. Watch out, hizi ni nyakati za mwisho ambapo watu watajitenga na mafundisho ya kweli yenye uzima na kugeukia mafundisho ya mashetani.Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Masikini! Huruma sana, hao wote wameenda kutafuta miujiza wakiamini ndio suluhu ya matatizo yao. Inasikitisha.
Safi snaan wangoniSiku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Ndio maana hawa ma chalartan wanakuwa matajiri. Hapo utakuta sadaka chungu nzima, nyingine zinaitwa za kujimaliza yani utoe kila kitu kwa nabii.