Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Ficha u mbumbumbu wako unaji dhalilisha, unajua nafasi ya GSM pale Yanga!!Huyu dogo Ally Kamwe azuiwe kufanya press maana anazidi kuianika Yanga.
Kumbe GSM 'hohe hahe' anashindwa hata kuilipia Yanga Madeni huko TFF.
Sasa GSM kujikweza na jeuri ya udhamini wa timu 8 anautoa wapi?
Sisi tusingelijua mideni ya Yanga huko TFF bila Ally Kamwe kuzungumzia Zawadi ya CRDB...
π€£Ficha u mbumbumbu wako unaji dhalilisha, unajua nafasi ya GSM pale Yanga!!
Subutuuu wagome waoneMimi damu ila nahamia simba
Huku Yanga utapeli mtupu majungu kila kesi tunashindwa
simba mnipokee
View attachment 3363316