Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Vodacom ni Wezi na wapuuzi sana,wanaweka tuzo point,unafanya miamala ya zaidi ya milioni 2 kisha unakuja kupewa tuzo point 2000 ambazo haizidi hata Tsh 150.Jamani hii kitu inaitwa Songesha nini nini na inafanyaje kazi? Maana wao hawaaminiki maelezo yao siyaamini, haya makampuni ya simu ni wezi!