Songesha ya Vodacom ni nini?

Jamani hii kitu inaitwa Songesha nini nini na inafanyaje kazi? Maana wao hawaaminiki maelezo yao siyaamini, haya makampuni ya simu ni wezi!
Vodacom ni Wezi na wapuuzi sana,wanaweka tuzo point,unafanya miamala ya zaidi ya milioni 2 kisha unakuja kupewa tuzo point 2000 ambazo haizidi hata Tsh 150.
 
Wachangiaji wa uzi huu wengi ni wakipato chini,yaani ntu awaza elfu tano apate elfu 20? Duh! ,pole zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia haiko Sawa! Hilo lielewe kabla ya chochote,! Kama maskini wanajadiliana we Tajiri unafata nn?

Next time ukiona uko juuu ya kitu flan au idea, ni bora kukaa kimya kuliko kutoa maneno ya kejeli

Umeniudhi Sana kwa madharau yako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…