Songolo: Hakuna bodaboda aliyefunga bendera ya chama kwenye Kampeni bure, tuliwalipa walikuwa kwenye biashara

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema waendesha bodaboda walioshiriki katika kampeni za vyama vya siasa hawakufanya hivyo bure, bali walilipwa kwa huduma zao kama sehemu ya shughuli za kibiashara.

"Nilikuwa namsikia mbunge mmoja juzi anazungumza kwenye bunge, kwamba hawa watu [Bodaboda] tuliwatumia kwenye kampeni, kwani walitumika bure? Tuliwalipa. Hakuna bodaboda aliyefunga bendera ya chama fulani, hao hao kama walitumiwa na CCM, ni hao hao walitumiwa na ACT, ni hao hao walitumiwa na CHADEMA. Kwa hiyo, walikuwa pale kwa ajili ya biashara."

Your browser is not able to display this video.
 
Wanasiasa wana kauli yao inasema hivi

''kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu''
 
Mtasema yote....

Nani alitoa amri ya shoot to kill?
 
Futa meno CHADEMA chama hiki makini hakikushiliki upumbavu huu wa samuya na genge lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…