Songwe: Aliyehitimu Kidato cha nne anywa sumu kwa kupata ufaulu wa daraja la nne

Songwe: Aliyehitimu Kidato cha nne anywa sumu kwa kupata ufaulu wa daraja la nne

Michael Aroni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda amenusurika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata Daraja la IV la alama 26 katika matokeo ya Kidato cha 4 yalitolewa jana

Michael amehitimu Shule ya Sekondari St. Agrey na alitarajia kupata ufaulu wa Daraja la kwanza ila matarajio yake hayakutimia

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Dkt. Ahmed Ramadhan amesema Mgonjwa huyo amepatiwa matibabu na sasa anaendelea vizuri
Kwani IV 26 hupati shule binafsi?
 
Acha kuandika utumbo..... Kwani ukimaliza form six na miaka 20 inachukua miaka mingapi kuanza chuo?! Si ni miezi michache tu..... Mimi nilianza chuo nikiwa na miaka 20 na form six nilimaliza nikiwa na miaka hiyo hiyo 20. Nilimaliza form six mwezi wa 5 kama sijakosea maana ni miaka mingi imepita, ilikuwa mwaka 2007 na mwaka huo huo 2007 mwezi wa 10 nikaingia chuo. Wewe ndo uache ubwege!!

Sent using Jamii Forums mobile app
huna akili itakuwa ulisoma chuo cha utalii, iyo six unamaliza na miaka 20 kamili ama na miezi kadhaa hadi kuanza chuo unajikuta una 21

ama wewe ni wale mnao hesabu kumaliza mwaka hata kama umezaliwa mwezi wa 10 ukianza mwaka mpya unajihesabia una mwaka 1

bwege wewe, huwezi maliza six 2007 kwa akili yako hii ya darasa la 3 labda umemaliza six 2017
 
Michael Aroni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda amenusurika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata Daraja la IV la alama 26 katika matokeo ya Kidato cha 4 yalitolewa jana

Michael amehitimu Shule ya Sekondari St. Agrey na alitarajia kupata ufaulu wa Daraja la kwanza ila matarajio yake hayakutimia

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Dkt. Ahmed Ramadhan amesema Mgonjwa huyo amepatiwa matibabu na sasa anaendelea vizuri
Kwani alikuwa anafaulu kwenye testi zake za shule? Tungepatiwa historia yake ya maendeleo yake shulenin tokea kidato cha kwanza hadi cha nne tungemsupport kusikitika kama yalikuwa mazuri. Unategemea 1 halafu upate 4? Mii hainingii akilini hii!!!
 
Back
Top Bottom