Songwe: Mtendaji afungwa jela miaka 8 kwa ubadhirifu wa fedha za umma

Songwe: Mtendaji afungwa jela miaka 8 kwa ubadhirifu wa fedha za umma

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma, Tsh. milioni 26.

Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya Hakimu Mkazi, Timoth Lion, mshtakiwa amekutwa na hatia ya kutumia fedha za umma kwa matumizi binafsi.

Aidha, mtuhumiwa amepelekwa gereza la Ilembo - Mbozi baada ya kushindwa kulipa faini.
 
Hii Sheria ya kwamba mwizi wa mali za imma analipa kidogo iki azifungwe ni mbovu sana sana.kama kweli amegundulika ameiba inatakiwa alipe mara 4 ya kile alichokiiba. Kwenye Biblia neno limekaa vizuri kama mtu akiiba ng'ombe mmoja anatakiwa kurudisha wa nne.Zakao Naye alikiri kuwa kama amemnyanganya mtu kitu atamrudishia mara nne.
Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa Mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya Milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha za Umma, TSH. Milioni 26

Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya Hakimu Mkazi, Timoth Lion, mshtakiwa amekutwa na hatia ya kutumia Fedha za Umma kwa matumizi binafsi

Aidha, mtuhumiwa amepelekwa gereza la Ilembo-Mbozi baada ya kushindwa kulipa fain
 
Hii Sheria ya kwamba mwizi wa mali za imma analipa kidogo iki azifungwe ni mbovu sana sana.kama kweli amegundulika ameiba inatakiwa alipe mara 4 ya kile alichokiiba.Kwenye Biblia neno limekaa vizuri kama mtu akiiba ng'ombe mmoja anatakiwa kurudisha wa nne.Zakao Naye alikiri kuwa kama amemnyanganya mtu kitu atamrudishia mara nne.
Nikweli kabisa hata matapeli wanatakiwa kulipa mara3 ya kile walicho tapeli mfano tapeli katapeli sh10000 anatakiwa kumlipa 20000 huyo aliye mtapeli na sh 10000 kuilipa serikali
 
Back
Top Bottom