Uchaguzi 2020 Songwe: TAKUKURU inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa kwa kugawa rushwa ili achaguliwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono ili aweze kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu.

Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe DAMAS SUTA amethibitisha tukio hilo na amesema kuwa Neema Ndabila ni mkazi wa Tunduma na amepita katika Kata mbalimbali za Wilaya za Mbozi na Songwe ambapo wao Takukuru walimuwekea mtego ambapo wamefanikiwa kumkamata Wilayani Songwe akiwa na baadhi ya wajumbe na amekutwa na doti za vitenge pamoja na fedha taslimu.

Amesema kuwa Neema Ndabila yupo mahabusu na atakaa mahabusu mpaka Takukuru watakapokamilisha upelelezi wao na watamfikisha mahakamani.

IMG_20200620_165016_885.jpg
 
View attachment 1484293
Kesi iko wapi?
 
Hivi ile issue ya mbarali mbeya iliishia wapi

Ova
 
Back
Top Bottom