LGE2024 Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema usiku huu saa 12:54, Viongozi wa Chama hicho akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti na Polisi Mkoani Songwe.

Mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA Jon Mrema amesema “Mdude hajaachiwa, RPC Kasema Wana mahojiano naye pamoja na Mtu mmoja ambaye aliumizwa vibaya na Polisi, tunaendelea kufuatilia hali ya afya ya Mdude”

Itakumbukwa Jeshi la Polisi Mkoani Songwe jana November 22,2024 lilitoa taarifa kuwa linawashikilia Wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Joseph Mbilinyi (Sugu) Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Pascal Yohana Haonga, Mbunge Mstaafu CHADEMA Mbozi Mlowo, Mdude Mpaluka Nyagali, Apolinary Boniface Margwe, Afisa Habari CHADEMA na Adam Hassan Kasekwa, Mlinzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Soma Pia: LGE2024 - Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Wengine waliokamatwa ni Paul Joseph Paul, Afisa wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mbeya, Kelvin Keneth Ndabila, Afisa habari Kanda ya Nyasa, Mkazi wa Mbeya, Michael Laison Msongole, Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Mbozi, Mlowo, Mohamed Abdilah Ling wanya, Mlinzi wa Mbowe Mkazi wa Dar es salaam, Alfan Hassan Mbire, Mlinzi wa Mbowe na Ezekia Elia Zambi, Mwenyekiti ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe.

Polisi ilisema “Tukio hilo limetokea eneo la stendi ya zamani ya Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe November 22,2024 majira ya 10:30 asubuhi baada ya CHADEMA kwenda kufanya mkutano wa kampeni eneo ambalo hawakupangiwa na ndipo Askari waliwapa amri ya kutawanyika lakini walikaidi ndipo Askari waliamua kuwatawanya kwa nguvu na ndipo walipoanza kurusha mawe na kuwajeruhi Askari wawili maeneo ya kichwani, usoni na puani na kwa sasa wanaendela na matibabu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi”
 
Siasa laini kamwe haziwezi iondoa CCM madarakani
Kwenye kata ninayo ishi hakuna mgombea wa chama cha upinzani ata mmoja amepita wote wamekatwa ni CCM tu wamepita
 
Waheshimu sheria ziluzopo.

Nasema hivyo kwasababu naamini ipo siku Watanzania watachagua vyama mbadala na CCM kushika madaraka.

Je, CHADEMA watawaweza kuvumilia mikiki mikaka ya Upinzani bila ya kutumia Dola?

Hii nchi yetu hii itakuwa katika mikasa na sintofahamu ikiwa watashika madaraka.

...waheshimu sheria.
 
ndipo Askari waliwapa amri ya kutawanyika lakini walikaidi ndipo Askari waliamua kuwatawanya kwa nguvu na ndipo walipoanza kurusha mawe na kuwajeruhi Askari wawili maeneo ya kichwani, usoni na puani
Hiki ndicho wanachokitafutaga sometimes hawa Askari
 
Polisi wanatumika vibaya sana nchi inazidi kudidimia kidemokrasia, kiuchumi nk sababu ya hii kada. Walaaniwe kabisa.
 
Tunahitaji kitu kingine/njia mbadala wa kuikomboa Tanganyika toka kwa wauaji weusi! "Armed strugle" kama ilivyokuwa kwa ukombozi wa afrika from the whites, sasa inabidi iwe "Armed strugle" kuwaondoa wakoloni /makaburu /wauaji weusi wenzetu
 
Tunahitaji kitu kingine/njia mbadala wa kuikomboa Tanganyika toka kwa wauaji weusi! "Armed strugle" kama ilivyokuwa kwa ukombozi wa afrika from the whites, sasa inabidi iwe "Armed strugle" kuwaondoa wakoloni /makaburu /wauaji weusi wenzetu
 
Tunahitaji kitu kingine/njia mbadala wa kuikomboa Tanganyika toka kwa wauaji weusi! "Armed strugle" kama ilivyokuwa kwa ukombozi wa afrika from the whites, sasa inabidi iwe "Armed strugle" kuwaondoa wakoloni /makaburu /wauaji weusi wenzetu
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema usiku huu saa 12:54, Viongozi wa Chama hicho akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti na Polisi Mkoani Songwe.
View attachment 3159222
Mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA Jon Mrema amesema “Mdude hajaachiwa, RPC Kasema Wana mahojiano naye pamoja na Mtu mmoja ambaye aliumizwa vibaya na Polisi, tunaendelea kufuatilia hali ya afya ya Mdude”

Itakumbukwa Jeshi la Polisi Mkoani Songwe jana November 22,2024 lilitoa taarifa kuwa linawashikilia Wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Joseph Mbilinyi (Sugu) Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Pascal Yohana Haonga, Mbunge Mstaafu CHADEMA Mbozi Mlowo, Mdude Mpaluka Nyagali, Apolinary Boniface Margwe, Afisa Habari CHADEMA na Adam Hassan Kasekwa, Mlinzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Soma Pia: LGE2024 - Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Wengine waliokamatwa ni Paul Joseph Paul, Afisa wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mbeya, Kelvin Keneth Ndabila, Afisa habari Kanda ya Nyasa, Mkazi wa Mbeya, Michael Laison Msongole, Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Mbozi, Mlowo, Mohamed Abdilah Ling wanya, Mlinzi wa Mbowe Mkazi wa Dar es salaam, Alfan Hassan Mbire, Mlinzi wa Mbowe na Ezekia Elia Zambi, Mwenyekiti ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe.

Polisi ilisema “Tukio hilo limetokea eneo la stendi ya zamani ya Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe November 22,2024 majira ya 10:30 asubuhi baada ya CHADEMA kwenda kufanya mkutano wa kampeni eneo ambalo hawakupangiwa na ndipo Askari waliwapa amri ya kutawanyika lakini walikaidi ndipo Askari waliamua kuwatawanya kwa nguvu na ndipo walipoanza kurusha mawe na kuwajeruhi Askari wawili maeneo ya kichwani, usoni na puani na kwa sasa wanaendela na matibabu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi”
Tunahitaji njia mbadala wa kuwaondoa wakoloni/wauaji/makaburu weusi nchini. Kama ukombozi wa frika ulitokana na "Armed strugle|, lkewise na kwa Taganyika tulipofikia tunahitaji "armed strugle"!
 
Mbona wameachiwa usiku sana????
Au wameachiwa ili watekwe tena nini???
 
Hii ni aibu yetu. Sisi wengine tunashangaa. Tunajiuliza tunachotafuta ni nini
 
Tunahitaji njia mbadala wa kuwaondoa wakoloni/wauaji/makaburu weusi nchini. Kama ukombozi wa frika ulitokana na "Armed strugle|, lkewise na kwa Taganyika tulipofikia tunahitaji "armed strugle"!
Ikiwa wewe mwenyewe unaogopa maji ya kuwasha utaweza kuiondoa CCM kweli!
 
Mihemuko ya chama dola kongwe na matumizi mabaya ya vyombo vya usalama

Unavizia msafara maporini na kusingizia kuvunja sheria za kufanya mkutano kinyume na kanuni za TAMISEMI wakati wakiwa porini hawajafika mjini katika eneo la mkutano wa kampeni:

View: https://m.youtube.com/watch?v=E4EUetRSKJE

Jeshi la Polisi limeripotiwa kuvamia msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe akiwa njiani kuelekea Vwawa ,Wilaya ya Mbozi kwenye uzinduzi wa kampeni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mchana wa leo November 22,2024.

View: https://m.youtube.com/watch?v=juLQWMrkxLY
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani kuelekea Mbozi baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wake ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya watu kwa mabomu ya machozi.

bc33aaf0-6751-4f2d-af9e-7376bac6cb09.jpg

Imeelezwa, magari yameharibiwa kwa kuvunjwa vioo, watu waliokuwa katika msafara wa Mbowe wamepigwa vibaya, wamepoteza simu na fedha.

Viongozi wengine waandamizi wamekamatwa na kupakiwa katika gari tofauti na ile iliyombeba Mbowe.

Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa mabomu ya machozi.

Credit:ITV.
 
Ilikuwa nia yao wasinye kampeni huko songwe basi maana kumkamata mtu bila kumfikisha mahakani ni zaidi ya ujambazi na siku nyingine mbowe aachane na maridhiano
 
CDM muanze kujitetea sasa, jamaa wanawaonea sana..nadhani mmekuwa wapole sana..njooni na MIPANGO ya kupinga huu unyanyasaji..kajifunzeni hata Kenya hapo, Raila alifanya nini?.. au nendeni Msumbiji muone Mondlane anavyowachezesha KWATA Frelimo...AMKENI
 
Waheshimu sheria ziluzopo.

Nasema hivyo kwasababu naamini ipo siku Watanzania watachagua vyama mbadala na CCM kushika madaraka.

Je, CHADEMA watawaweza kuvumilia mikiki mikaka ya Upinzani bila ya kutumia Dola?

Hii nchi yetu hii itakuwa katika mikasa na sintofahamu ikiwa watashika madaraka.

...waheshimu sheria.
Mkuu chama tawala kilishasema kina tumia dola kubaki madarakani. Ni kujilisha upepo upinzani kufikiri kuwa watapewa madaraka mezani.

Ni lazima nguvu (nguvu ya umma) inayoshinda dola itumike. Mfano mzuri na wa juzi tu, ni wa jenzii hapo kwa Kenyatta!!

Shida kubwa haipo kwa wanachama wa upinzani isipokuwa kwa viongozi wa upinzani.

Kwa vipimo vyovyote utakavyotumia, viongozi wengi wa upinzani ni moles (mapandikizi) wa mamlaka.

Wanacheza na muda wa wananchi.
 
Tunahitaji kitu kingine/njia mbadala wa kuikomboa Tanganyika toka kwa wauaji weusi! "Armed strugle" kama ilivyokuwa kwa ukombozi wa afrika from the whites, sasa inabidi iwe "Armed strugle" kuwaondoa wakoloni /makaburu /wauaji weusi wenzetu
Mkuu kwa dunia ya sasa hiyo mbinu haikupeleki popote.

Njia pekee ni kuwaondoa viongozi mapandikizi. Kuweka viongozi wasionunulika na wanachama kutumia mbinu ya maandamano ya amani au migomo inapobidi!!

Wiki mbili tu uone kama watawala hawataita maridhiano.
 
Tunahitaji kitu kingine/njia mbadala wa kuikomboa Tanganyika toka kwa wauaji weusi! "Armed strugle" kama ilivyokuwa kwa ukombozi wa afrika from the whites, sasa inabidi iwe "Armed strugle" kuwaondoa wakoloni /makaburu /wauaji weusi wenzetu
Unatafuta jambo gumu zaidi wakati jepesi hata bado hujalitumia?
Kama chama kinashindwa kutumia mtaji wake mkuu wa wanachama mamilioni kuonyesha uwepo wake; itawezekana vipi hiyo "Armed struggle" unayo isema hapa!
 
Back
Top Bottom